Kijakazi
Platinum Member
- Jun 26, 2007
- 10,417
- 17,735
- Thread starter
- #41
Kama hatuja jitambua unategemea nini? Halafu kama nshu ni barabara waliwatawala Rwanda pia mbona hawamo?
Unyarwanda haikuwahi kutawaliwa na Ufaransa bali kama sisi ilitawaliwa na Ujerumani halafu baadaye Ubelgiji, lugha ya kifaransa ni kwa sababu ya Ubelgiji!