Nchi 14 za Kiafrika zinalipa Kodi Ufaransa

Nchi 14 za Kiafrika zinalipa Kodi Ufaransa

Unachobisha sasa ni nini hapo? Haya ni Maneno ya Raisi wa Ufaransa Jacques Chirac;
In March 2008, former French President Jacques Chirac said:¡°Without Africa, France will slide down into the rank of a third [world] power¡±Chirac¡¯s predecessor Fran0Š4ois Mitterand already prophesied in 1957 that: ¡°Without Africa, France will have no history in the 21st century¡±
hizi ndio data?
 
Na wewe unachokipinga hapo ni kipi hasa katika hizo namba moja mpaka 10?
Hizi ni habari za kizushi ambazo zilishakuwa discredited zamani sana. Napinga kila kitu including hayo mambo 10 ambayo by the way hujaweka source, i am sure wewe sio original author wake kwa kuwa nilishakumbana na huu uzushi kitambo. Hata mkuu mmoja hapa ameshaeleza kuwa baadhi ya nchi zilizotajwa hazikuwahi kuwa makoloni ya ufaransa. some of them ziliingia tu kwenye matumizi ya CFA franc lakini hazikutawaliwa na ufaransa. Zingine franc zao hazina uhusiano na ufaransa mfano Guinea ilikuwamo ndani ya CFA zone lakini ikajitoa mwaka 1960, toka wakati huo franc ya guinea ni ya guinea.
 
Equatorial Guinea na Guinea Bisao zote ni wanachama wa Francophone au nchi zilizochini ya mwamvuli wa Ufaransa kama vile tulivyo sisi kwenye kwenye Commonwealth ya Uingereza na pia wanatumia West African Franc ambayo inacontroliwa moja kwa moja na Benki Kuu ya Ufaransa Paris!

tatizo liko wapi? si ni fedha tu? equatorial guinea iliingia matumizi ya franc mwaka 1985, article inadai eti hizi nchi zinalipishwa gharama za ukoloni! ukoloni upi sasa?
 
Hizi ni habari za kizushi ambazo zilishakuwa discredited zamani sana. Napinga kila kitu including hayo mambo 10 ambayo by the way hujaweka source, i am sure wewe sio original author wake kwa kuwa nilishakumbana na huu uzushi kitambo. Hata mkuu mmoja hapa ameshaeleza kuwa baadhi ya nchi zilizotajwa hazikuwahi kuwa makoloni ya ufaransa. some of them ziliingia tu kwenye matumizi ya CFA franc lakini hazikutawaliwa na ufaransa. Zingine franc zao hazina uhusiano na ufaransa mfano Guinea ilikuwamo ndani ya CFA zone lakini ikajitoa mwaka 1960, toka wakati huo franc ya guinea ni ya guinea.

Hata Wikipedia pia inasema imetoa orodha ya nchi ambazo ni Wanachma wa CFA Franc zikiwemo Equatorial Guinea na Guinea Bisau na wikipedia pia inasema ya kwamba CFA Franc iko guaranteed na french treasury au benki Kuu ya Ufaransa na pia CFA iko pegged to the Euro na hii ni baada ya Ufaransa kujiunga na Euro!

CFA franc - Wikipedia, the free encyclopedia
 
tatizo liko wapi? si ni fedha tu? equatorial guinea iliingia matumizi ya franc mwaka 1985, article inadai eti hizi nchi zinalipishwa gharama za ukoloni! ukoloni upi sasa?

Kwanza unaelewa maana ya Monetary policy? Wanaposema CFA iko guaranteed na French Treasury na iko pegged to the euro unaelewa maana yake?

Ni jambo la kushangaza na la kusikitisha sana mpaka leo hii nchi 14 zilizokuwa Makoloni ya Ufaransa bado zinalipa kodi Ufaransa kama malipo ya Nchi hiyo (Ufaransa) kwenye uwekezaji iliyofanya huko kama vile Miundo Mbiu ya Br., Reli, Bandari n.k!
Nchi hizo ni Kongo, Ivory Coast, Togo, Afrika ya Kati, Mali, Niga, Benini, Burkina Faso, Kameruni, Equatorial Guinea, Gabuni, Chadi, Guinea Bisau, na Senegali!

Hayo ni makubaliano ambayo Serikali ya Ufaransa iliafikiana na nchi hizo ya kwamba ili Ufaransa isiharibu kila kitu ilichojenga kama Shule, Vyuo Vikuu, Zahanati n.k basi ni lazima nchi ziendelee kulipa kodi!
Inasemekana ya kwamba fedha ambazo nchi ya Ufaransa inachukua kama kodi ktk kwenye nchi hizo za Kiafrika ni asilimia 40% ya Uchumi mzima wa Nchi ya Ufaransa na uchumi wa Ufaransa ni kama Dola za Kimarekani 2.5 trilioni, sasa piga hesabu mwenye asilimia 40% ya hiyo fedha Ufaransa inachukua kama kodi ktk AM!

Haya hapo chini ndiyo makubaliano yaliyosainiwa na nchi za Afrika Magharaibi na Ufaransa kabla ya kukabithiwa Uhuru!

1. Colonial Debt for the benefits of France colonization

The newly “independent” countries should pay for the infrastructure built by France in the country during colonization.

2. Automatic confiscation of national reserves

The African countries should deposit their national monetary reserves into France Central bank.
France has been holding the national reserves of fourteen african countries since 1961: Benin, Burkina Faso, Guinea-Bissau, Ivory Coast, Mali, Niger, Senegal, Togo, Cameroon, Central African Republic, Chad, Congo-Brazzaville, Equatorial Guinea and Gabon.

3. Right of first refusal on any raw or natural resource discovered in the country

France has the first right to buy any natural resources found in the land of its ex-colonies. It’s only after France would say, “I’m not interested”, that the African countries are allowed to seek other partners.

4. Priority to French interests and companies in public procurement and public biding

In the award of government contracts, French companies must be considered first, and only after that these countries could look elsewhere. It doesn’t matter if the african countries can obtain better value for money elsewhere.

5. Exclusive right to supply military equipment and Train the country military officers

Through a sophisticated scheme of scholarships, grants, and “Defense Agreements” attached to the Colonial Pact, the africans should send their senior military officers for training in France or French ran-training facilities.

6. Right for France to pre-deploy troops and intervene military in the country to defend its interests

Under something called “Defence Agreements” attached to the Colonial Pact, France had the legal right to intervene militarily in the African countries, and also to station troops permanently in bases and military facilities in those
countries, run entirely by the French.

7. Obligation to make French the official language of the country and the language for education

Oui, Monsieur. Vous devez parlez français, la langue de Molière!
A French language and culture dissemination organization has been created called “Francophonie” with several satellites and affiliates organizations supervised by the French Minister of Foreign Affairs.

8. Obligation to use France colonial money FCFA

That’s the real milk cow for France, but it’s such an evil system even denounced by the European Union, but France is not ready to move from that colonial system which puts about 500 billions dollars from Africa to its treasury.

9. Obligation to send France annual balance and reserve report.

Without the report, no money.
Anyway the secretary of the Central banks of the ex-colonies, and the secretary of the bi-annual meeting of the Ministers of Finance of the ex-colonies is carried out by France Central bank / Treasury.

10. Renonciation to enter into military alliance with any other country unless authorized by France

African countries in general are the ones with will less regional military alliances. Most of the countries have only military alliances with their ex-colonisers!

In the case France ex-colonies, France forbid them to seek other military alliance except the one

11. Obligation to ally with France in situation of war or global crisis

Ningependa sana kujua Mlm.Nyerere alisaini nini na Waingereza kabla ya kukabidhiwa Uhuru ikumbukwe ya kwamba uhuru wetu hatukuupigania bali tulipewa hivyo ni lazima kulikuwa na makubaliano ambayo waliandikiana kwa maana isije kuwa tunapiga kelelel kulaumu ufisadi kumbe Viongozi wamebanwa na hawana jinsi ni lazima wawape Wazungu Rasilimali!

Rais Thomas Sankara a.k.a Che Guivara wa Afrika ambaye alikuwa Rais wa Burkinafaso aliuwawa mwaka 1987 kwa sababu alihoji utaratibu huo na aliwashawishi marais wa nchi nyingine za Kiafrika ( Francophones ) ku boycott mpango huo. Haiti ni taifa pekee la ulimwengu wa tatu lililopo Western Hemisphere, sababu ni hiyo hiyo ya kulipa madeni kwa mkoloni wake.
 
Wafaransa ni wabaya sana kwenye makoloni yao hakuna mfano
 
Kwanza unaelewa maana ya Monetary policy? Wanaposema CFA iko guaranteed na French Treasury na iko pegged to the euro unaelewa maana yake?

unachepusha mjadala, kutumia sarafu ya CFA haimaanishi nchi iliwahi kuwa koloni la ufaransa, like nimesema hapo kuwa equatorial guinea haikuwahi kuwa koloni la ufaransa, ila iliingia kwenye CFA mwaka 85. Sasa hebu tuelezee how does equatorial guinea fit in with huo mkataba wa mambo kumi ulioweka hapo. Mfano: " 1. Colonial Debt for the benefits of France colonization" how does this apply to equatorial guinea which has never been a french colony? nchi kama guinea-bissau nayo iliingia majuzi tu mwaka 1997! Nayo haikutawaliwa na ufaransa, lakini na yenyewe iko kwenye post yako eti inalipa madeni ya ukoloni, ukoloni upi?
 
This is insanely in a high degree on how these countries would be categorized as nations while the total supreme power is under France?

Where is exactly the source of this cheap crappy?
 
This is insanely in a high degree on how these countries would be categorized as nations while the total supreme power is under France?

Where is exactly the source of this cheap crappy?

my question exactly, who wrote this ----.
 
unachepusha mjadala, kutumia sarafu ya CFA haimaanishi nchi iliwahi kuwa koloni la ufaransa, like nimesema hapo kuwa equatorial guinea haikuwahi kuwa koloni la ufaransa, ila iliingia kwenye CFA mwaka 85. Sasa hebu tuelezee how does equatorial guinea fit in with huo mkataba wa mambo kumi ulioweka hapo. Mfano: " 1. Colonial Debt for the benefits of France colonization" how does this apply to equatorial guinea which has never been a french colony?

hey man naona umeamua kubishana basi wacha tuachie hapo kwa maana tutajaza kurasa hapa kwa kubishania kitu ambacho kiko wazi kabisa na Hata umoja wa nchi za Ulaya unalijua hilo umeshakuwa na ishu na Ufaransa juu ya haya mambo!
 
Hizi ni habari za kizushi ambazo zilishakuwa discredited zamani sana. Napinga kila kitu including hayo mambo 10 ambayo by the way hujaweka source, i am sure wewe sio original author wake kwa kuwa nilishakumbana na huu uzushi kitambo. Hata mkuu mmoja hapa ameshaeleza kuwa baadhi ya nchi zilizotajwa hazikuwahi kuwa makoloni ya ufaransa. some of them ziliingia tu kwenye matumizi ya CFA franc lakini hazikutawaliwa na ufaransa. Zingine franc zao hazina uhusiano na ufaransa mfano Guinea ilikuwamo ndani ya CFA zone lakini ikajitoa mwaka 1960, toka wakati huo franc ya guinea ni ya guinea.
Sao Tome and Principle walijiingiza huko wenyewe kwa sababu viongozi wao walitaka Paris iwasaidie kuishi madarakani. Guinea ilijaribu kujiondoa kutoka sarafu hio, Paris wakatuma majasusu na sarafu ghashi wakasambaratisha sarafu ambayo Guinea ilikuwa imeanzisha. Mkataba huu hauhusu sarafu peke yake.Full proof kwa sababu only an external factor can end it.
 
my question exactly, who wrote this ----.

I have totally lost the concept here kivipi inakuwa nchi ya kiafrika inakuwa kama mtaa flani huko France cause there is nor variation between these countries and a certain region in France.
 
hey man naona umeamua kubishana basi wacha tuachie hapo kwa maana tutajaza kurasa hapa kwa kubishania kitu ambacho kiko wazi kabisa na Hata umoja wa nchi za Ulaya unalijua hilo umeshakuwa na ishu na Ufaransa juu ya haya mambo!

At least hakuna ubishi kuwa:
1. guinea-bissau na equatorial guinea hazijawahi kuwa makoloni ya ufaransa.
2. kuwa guinea-bissau ilijiunga na CFA mwaka 1997 while equatorial guinea ilijiunga 1985.

kama mambo simple kama haya yamepotoshwa kwenye hii post, i don't think the post has any authority kwenye discussion on why these countries use CFA.
 
Sao Tome and Principle walijiingiza huko wenyewe kwa sababu viongozi wao walitaka Paris iwasaidie kuishi madarakani. Guinea ilijaribu kujiondoa kutoka sarafu hio, Paris wakatuma majasusu na sarafu ghashi wakasambaratisha sarafu ambayo Guinea ilikuwa imeanzisha. Mkataba huu hauhusu sarafu peke yake.Full proof kwa sababu only an external factor can end it.

1. sao tome and principle? what are you talking about? Hawa hawajatawaliwa na ufaransa wala hawamo kwenye hii CFA franc. umeteleza au?
2. Guinea ilijitoa mwaka 1960. sidhani kama hiyo imebadilika.
3. Mkataba upi unaozungumzia na tafadhali weka source sio kama mtoa post
 
I have totally lost the concept here kivipi inakuwa nchi ya kiafrika inakuwa kama mtaa flani huko France cause there is nor variation between these countries and a certain region in France.

maana yake post ni uongo.
 
Kama hatuja jitambua unategemea nini? Halafu kama nshu ni barabara waliwatawala Rwanda pia mbona hawamo?
 
Back
Top Bottom