Nchi 14 za Kiafrika zinalipa Kodi Ufaransa

Nchi 14 za Kiafrika zinalipa Kodi Ufaransa

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,324
Reaction score
15,007
Ni jambo la kushangaza na la kusikitisha sana mpaka leo hii nchi 14 zilizokuwa Makoloni ya Ufaransa bado zinalipa kodi Ufaransa kama malipo ya Nchi hiyo (Ufaransa) kwenye uwekezaji iliyofanya huko kama vile Miundo Mbiu ya Br., Reli, Bandari n.k!
Nchi hizo ni Kongo, Ivory Coast, Togo, Afrika ya Kati, Mali, Niga, Benini, Burkina Faso, Kameruni, Equatorial Guinea, Gabuni, Chadi, Guinea Bisau, na Senegali!

Hayo ni makubaliano ambayo Serikali ya Ufaransa iliafikiana na nchi hizo ya kwamba ili Ufaransa isiharibu kila kitu ilichojenga kama Shule, Vyuo Vikuu, Zahanati n.k basi ni lazima nchi ziendelee kulipa kodi!
Inasemekana ya kwamba fedha ambazo nchi ya Ufaransa inachukua kama kodi ktk kwenye nchi hizo za Kiafrika ni asilimia 40% ya Uchumi mzima wa Nchi ya Ufaransa na uchumi wa Ufaransa ni kama Dola za Kimarekani 2.5 trilioni, sasa piga hesabu mwenye asilimia 40% ya hiyo fedha Ufaransa inachukua kama kodi ktk AM!

Haya hapo chini ndiyo makubaliano yaliyosainiwa na nchi za Afrika Magharaibi na Ufaransa kabla ya kukabithiwa Uhuru!



1. Colonial Debt for the benefits of France colonization


The newly "independent" countries should pay for the infrastructure built by France in the country during colonization.

2. Automatic confiscation of national reserves

The African countries should deposit their national monetary reserves into France Central bank.
France has been holding the national reserves of fourteen african countries since 1961: Benin, Burkina Faso, Guinea-Bissau, Ivory Coast, Mali, Niger, Senegal, Togo, Cameroon, Central African Republic, Chad, Congo-Brazzaville, Equatorial Guinea and Gabon.


3. Right of first refusal on any raw or natural resource discovered in the country

France has the first right to buy any natural resources found in the land of its ex-colonies. It's only after France would say, "I'm not interested", that the African countries are allowed to seek other partners.

4. Priority to French interests and companies in public procurement and public biding

In the award of government contracts, French companies must be considered first, and only after that these countries could look elsewhere. It doesn't matter if the african countries can obtain better value for money elsewhere.

5. Exclusive right to supply military equipment and Train the country military officers

Through a sophisticated scheme of scholarships, grants, and "Defense Agreements" attached to the Colonial Pact, the africans should send their senior military officers for training in France or French ran-training facilities.


6. Right for France to pre-deploy troops and intervene military in the country to defend its interests

Under something called "Defence Agreements" attached to the Colonial Pact, France had the legal right to intervene militarily in the African countries, and also to station troops permanently in bases and military facilities in those
countries, run entirely by the French.

7. Obligation to make French the official language of the country and the language for education

Oui, Monsieur. Vous devez parlez français, la langue de Molière!
A French language and culture dissemination organization has been created called "Francophonie" with several satellites and affiliates organizations supervised by the French Minister of Foreign Affairs.

8. Obligation to use France colonial money FCFA

That's the real milk cow for France, but it's such an evil system even denounced by the European Union, but France is not ready to move from that colonial system which puts about 500 billions dollars from Africa to its treasury.

9. Obligation to send France annual balance and reserve report.

Without the report, no money.
Anyway the secretary of the Central banks of the ex-colonies, and the secretary of the bi-annual meeting of the Ministers of Finance of the ex-colonies is carried out by France Central bank / Treasury.


10. Renonciation to enter into military alliance with any other country unless authorized by France

African countries in general are the ones with will less regional military alliances. Most of the countries have only military alliances with their ex-colonisers!

In the case France ex-colonies, France forbid them to seek other military alliance except the one

11. Obligation to ally with France in situation of war or global crisis


Ningependa sana kujua Mlm.Nyerere alisaini nini na Waingereza kabla ya kukabidhiwa Uhuru ikumbukwe ya kwamba uhuru wetu hatukuupigania bali tulipewa hivyo ni lazima kulikuwa na makubaliano ambayo waliandikiana kwa maana isije kuwa tunapiga kelelel kulaumu ufisadi kumbe Viongozi wamebanwa na hawana jinsi ni lazima wawape Wazungu Rasilimali!

 
Haiwezekani,kaa chini ukokote hzo nchi kwa pamoja zinakusanya kodi kiasi gani,pia tafuta tafsiri ya kipimo cha ukubwa wa uchumi alaf urudi hapa,
 
Ndio maana vita haiishi kwenye hizo nchi, kila anayeingia madarakani akitaka kupinga anatafutiwa zengwe, na kwa nchi ambazo ziligoma kulipa jamaa waliharibu kweli miundombinu.
 
Haiwezekani,kaa chini ukokote hzo nchi kwa pamoja zinakusanya kodi kiasi gani,pia tafuta tafsiri ya kipimo cha ukubwa wa uchumi alaf urudi hapa,

Unachobisha sasa ni nini hapo? Haya ni Maneno ya Raisi wa Ufaransa Jacques Chirac;

In March 2008, former French President Jacques Chirac said:

"Without Africa, France will slide down into the rank of a third [world] power"

Chirac's predecessor François Mitterand already prophesied in 1957 that:
"Without Africa, France will have no history in the 21st century"
 
limetumbuka
Siku ikifahamika uwazi wa mikataba walioweka waingereza na serikali ya tanganyika kipindi cha kupata uhuru, ndio itakuwa ni mwisho wa utawala wa CCM kwa maana kuna siri nzito sana hapo ikulu.

Mkuu sidhani kama mabeberu/waingereza wanaweza kukubali maslahi yao yapotee hivi hivi, hawawezi kuiodnoa CCM kabla hawajaridhika na anaekuja kama atadumisha maslahi yao. Nlikua najiuliza ilikuaje wakati wa kuingia viongozi wa jadi waliokataa kutawaliwa walipoteza maisha, halafu eti baada ya miaka wanaiachia Africa kirahisi hivyo. Kumbe waliamua kuwaacha wajiongoze wakati wao wanaendelea kunyonya kama kawaida.
 
Equatorial Guinea ilitawaliwa na Wahispania, nchi pekee (ukitoa sahara magharibi) wanozungumza Spanish kama lugha ya taifa. Guinea Bisao ni koloni la kireno, sawa na ilivyo Msumbiji. Hawawezi kusaini hio mikataba !!!
 
Sio habari za uzushi, kuna watu ambao wanaishi huu utumwa sasa hivi, unaweza kamwuliza Laurent Gbagbo au Spika wa sasa Ivory Coast ambaye anapambana kukomesha utumwa huu. Paris ni wangonjwa akili, wametengeneza a full proof slave and master system.
 
Sio habari za uzushi, kuna watu ambao wanaishi huu utumwa sasa hivi, unaweza kamwuliza Laurent Gbagbo au Spika wa sasa Ivory Coast ambaye anapambana kukomesha utumwa huu. Paris ni wangonjwa akili, wametengeneza a full proof slave and master system.

Habari ni uzushi angalia mfano comment ya mkuu hapa chini.

Equatorial Guinea ilitawaliwa na Wahispania, nchi pekee (ukitoa sahara magharibi) wanozungumza Spanish kama lugha ya taifa. Guinea Bisao ni koloni la kireno, sawa na ilivyo Msumbiji. Hawawezi kusaini hio mikataba !!!
 
hizi habari zilishapingwa zamani kuwa ni uzushi na zinapatikana tu kwenye hoax websites, kama zile website zinazodai marekani hajawahi kwenda mwezini, na bin laden yuko hai etc.

cc: CHINJA 1701

Na wewe unachokipinga hapo ni kipi hasa katika hizo namba moja mpaka 10?
 
Equatorial Guinea ilitawaliwa na Wahispania, nchi pekee (ukitoa sahara magharibi) wanozungumza Spanish kama lugha ya taifa. Guinea Bisao ni koloni la kireno, sawa na ilivyo Msumbiji. Hawawezi kusaini hio mikataba !!!


Equatorial Guinea na Guinea Bisao zote ni wanachama wa Francophone au nchi zilizochini ya mwamvuli wa Ufaransa kama vile tulivyo sisi kwenye kwenye Commonwealth ya Uingereza na pia wanatumia West African Franc ambayo inacontroliwa moja kwa moja na Benki Kuu ya Ufaransa Paris!
 
Back
Top Bottom