Nchi 10 za kiarabu kuisaidia Marekani kuipiga ISIS

chongchung

JF-Expert Member
Joined
Jun 23, 2013
Posts
14,740
Reaction score
46,079
140913000305_kerry_meeting__saudiaarabia_512x288_reuters_nocredit.jpg

Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry amepinga ripoti kwamba mataifa ya kiarabu hayaungi mkono moja kwa moja juhudi zake za kubuni muungano wa kukabiliana na kundi la wapiganaji wa himaya ya kiislamu.

Akizungumza nchini Uturuki katika ziara ya eneo la mashariki ya kati,amesema kuwa ameridhishwa na majibu aliyopata kutoka Saudi Arabia na mataifa mengine.

Lakini amesema kuwa si sahihi kwa Iran kujiunga na juhudi za kimataifa dhidi ya wapiganaji hao.

Bwana Kerry anatarajiwa kuelekea nchini Misri hii leo.

Mataifa kumi ya kiarabu yamekubali kuisaidia marekani.
 
Drama za waarabu tuwaachie wenyewe, hawatabiriki.
 
Kichwa cha habari si sawa na habari yenyewe,Ukweli Waarabu waliomba MAREKANI iwasaidie kuwatimua ISIL na MARAEKANI ilikubali kuwasaidia mpaka sasa KELLY yupo mashariki ya kati kuwaunganisha waarabu ili waweze kupambana na ISIL wala si waarabu wanaisaidia MAREKANI.watu wengine mnapotosha habari.

“Going After” the Islamic State. Guess Who is Behind the Caliphate Project?

link "Going After" the Islamic State. Guess Who is Behind the Caliphate Project? | Global Research
 
140913000305_kerry_meeting__saudiaarabia_512x288_reuters_nocredit.jpg

Waziri wa maswala ya kigeni nchini Marekani John Kerry amepinga ripoti kwamba mataifa ya kiarabu hayaungi mkono moja kwa moja juhudi zake za kubuni muungano wa kukabiliana na kundi la wapiganaji wa himaya ya kiislamu.

Akizungumza nchini Uturuki katika ziara ya eneo la mashariki ya kati,amesema kuwa ameridhishwa na majibu aliyopata kutoka Saudi Arabia na mataifa mengine.

Lakini amesema kuwa si sahihi kwa Iran kujiunga na juhudi za kimataifa dhidi ya wapiganaji hao.

Bwana Kerry anatarajiwa kuelekea nchini Misri hii leo.

Mataifa kumi ya kiarabu yamekubali kuisaidia marekani.
Ujinga wa waarabu unashangaza sana. Hawajiwezi mpaka waelekezwe na USA. Baada ya kuwashinda ISIL(S) wataanza kupiga kelele "USA is the No.1 enemy of Islam and Arabs".
 
Kuipiga ISIS wapi kama ni Syria kuna nchi kama Egypt, Oman na Jordan wameisha sema hawako na USA kwa hio wacha uwongo.
 
Back
Top Bottom