Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 54,819
- 53,740
Hawawezi kuwa wenzake halafu wamposion mwanzao.Seriously Sick...au....
Palikuwa na uvumi kwamba wenzake wame mu poison?!!
Nani amemu nyama yake ya takoni huyu?!!Hawawezi kuwa wenzake halafu wamposion mwanzao.
BadoKashavuta?
Akifa itakuwa furaha kubwa kwa Watanganyika au lolote baya limkute nchi ianze kuona mwanga japo naye ni chawa tu hana meno anasubiri maelekezo.Mheshimiwa nakusalimia ✍🏻😁
Britanicca
Yesu ametendaApostle Kumetokea Nini Tena 💖
mshana jr tafadhali mtembelee JoanahPresidaa ya muroki🤣
mshana jr tafadhali mtembelee Joanah
basi buana maana kwa upande mwingine ni mtu mwema sana duniani tunakosana kidogo tu tusameheaneUmenikumbusha huyo uliyemtaja yuko kwenye ignore list yangu
Halafu why anitembelee?
basi buana maana kwa upande mwingine ni mtu mwema sana duniani tunakosana kidogo tu tusameheane
okay vipi ni kweli unaumw au ulipost utani maana mod washafutaHajawahi kunikosea
Mitazamo ya nyuzi zake tu nimeshindwa kuendelea kuitazama ndio maana nimemuignore
Ni kweli nakufaokay vipi ni kweli unaumw au ulipost utani maana mod washafuta