Nchemba, Wassira, Pinda 3 bora CCM katika kinyang'anyiro urais

twijuke

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2011
Posts
547
Reaction score
252
Ndugu wana Jf, watajwa hapo juu ndiyo wanaotazamiwa kufika 3 bora ndani ya Chama tawala katika uchaguzi ujao wa mchujo wa urais.

1.Mwigulu Rameki Nchemba, ni mbunge wa Iramba na naibu waziri wa mapesa,mnapo sikia Rais wetu anaimba tunahitaji rais ajaye awe kijana, ni ukweli usiopingika kuwa Mwigulu ndiyo jicho lake, tukumbuke kuwa Mwigulu hakujifikisha hapo alipo bali amefikishwa.

2.Peter Kayanza Mizengo Pinda, huyu ni mbunge wa Mpanda mashariki mkoani Rukwa, na ndiye waziri mkuu wa sasa. Huyu naye amewachanganya sana wasaka Ikulu, wengi wanaamini kuwa si uamuzi wake binafsi wa kutangaza nia,bali ana nguvu nyuma yake hasa rais na taasisi ya usalama wa taifa. Mtazamo huu wa wengi kwa Pinda umetokana na tabia yake ya kuto kukurupuka kwenye mambo nyeti,mazito na ya msingi, hasa hili la urais.

3. Bernard Kamilius Bernard Membe,Huyu nimbunge wa jimbo la Mtama mkoani Lindi na ni waziri wizara ya mambo ya nje. Tangu enzi za Mwalimu kulikuwa na utamaduni kuwa waziri wa mambo ya nje ndiye anaye julikana nje kutokana na majukumu yake. Hivyo kumekuwa na utamaduni kuwa waziri wa mambo ya nje huwa anaandaliwa makusudi.

Pamoja na kutangaza nia, majukumu yake yanawafanya watu waamini kuwa anaandaliwa awe rais ajaye.

4. Stephen Masato Wassira, huyu ni mbunge wa Bunda na amefanya ofisi ya raisi utawala bora, hili ni jembe la JK,ndiyo maana Jk akimtaja huwa anamwita Tyson.

Bwana Wassira anaonekana kuzijua vyema siasa za Tanzania hasa zama hizi za mfumo wa vyama vingi. Anatajwa kama kada gwiji pekee, aliyepata kura nyingi kwenye chaguzi za ndani ya chama. Hivyo huyu naye anaogopwa na makundi ya wasaka Ikulu.

Ila ni kwamba Mwigulu ndiye anayetarajiwa kupeperusha bendera ya Chama cha mapinduzi na hatimaye kuwa rais wa Tanzania.

Maswali sitaki hii nimekuwekea mchuzi juu, hakuna mambo ya mboga 3. Usije sema mbona ni wanne.

Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
 
Hahaha! Hiyo Tisa kumi ukawa no kiboko yao!
 
Scraps.... Hakuna kitu hapo wote ni dismal performer tunataka rais atakaye make a difference
 
Naona na wewe leo umekuja na simulizi ya kufikirika iliyojaa ndoto za alinacha.
 
Nawaapia watanzania wenzangu kamwe Lowasa hawezi kuwa rais wa nchi hii. ila mpaka sasa ana 50% ya kuamua kati ya nilio wataja nani awe rais, na si nje ya hapo.

Kwa wale wanaoamini kuwa akikosa urais ndani ya Ccm atahamia Chadema au chama kingine, hizo ni ndoto za mchana na za njaa, kama si za shibe. Kifupi ni kwamba historia ya Lowasa kwa maana ya heshima na utajiri alio nao vimejengwa na Ccm. Aweza usaidia upinzani na si kuhama.

Kwa maana nyingine pamoja na utajiri alionao hawezi kumudu garama ya kujenga mahusiano ndani ya Chama kingine, kwani ujenzi wa mahusiano si pesa tu, bali hata nguvu kiafya na kifikra.
 
Lowassa njia anazotumia ili kufikia lengo lake ndizo zilizomuharibia.
 
Upuuuuziiiiiii mtuuuuuuupu!,ccm sasa mnashida sana!,ni kama vile mtu mchafu asiependa kusafisha nguo zake,then akivaa zote na juma likaisha anaaanza kutaftiza zenye uahueni kati ya zile chafu!...mim ndio kamchezo ninakokaona hapa!
 
Ndugu wana Jf, watajwa hapo juu ndiyo wanaotazamiwa kufika 3 bora ndani ya Chama tawala katika uchaguzi ujao wa mchujo wa urais.

1.Mwigulu Rameki Nchemba,
2.Peter Kayanza Mizengo Pinda,
3. Bernard Kamilius Bernard Membe
4. Stephen Masato Wassira

Ila ni kwamba Mwigulu ndiye anayetarajiwa kupeperusha bendera ya Chama cha mapinduzi na hatimaye kuwa rais wa Tanzania.
Mungu ibariki Tanzania na watu wake.
Mkuu Twijuke, asante kwa analysis yako!, kama ungeweka na vigezo why Mwigulu, ningekuelewa kidogo!.

Kati ya hayo majina matatu, la Pinda nakukubalia kwa sababu ametumwa ajitose ili kumsuia yule "jamaa yangu!" kwa hoja kuwa hawawezi kupeleka ma PM wawili!. Kati ya hayo majina matatu ya mwisho, hawawezi wote kuwa kuwa Wakristo na wote watoke bara!, kuna mwana CCM boya kutoka Zanzibar pia na yeye atatumwa ajotose kama alivyotumwa Pinda!, huyu atakuwa ni kati ya Dr. Gharib Bilal au Mzanzibari yoyote mwenye dhaifu ila sio Shein, ili kumtumia tuu kama kondoo wa kafara ku win support ya Wanzanzibari, lakini lengo ni kumsindikiza mlengwa!,hivyo majina matatu ya mwisho, kutakuwa na strong candidate mmoja tuu na maboya mawili, kwa vile Mwingulu ni strong na Wazira ni strong, kamwe hawawezi kuingiza strong candidates watatu, kura zitasumbua.

Kuna mtu kanieleza huyo strong wa mwisho ni Membe!, na hili likitokea, then kwa Tanzania hiyo ya 2015-2025, hii ya JK ya 2005-2015, itakuwa ni afadhali mara 100!, debe tupu linapofika kileleni, itakuwa ni kazi kweli kweli!, na hili ili lifanyika na kufanikiwa lazima kwa yule "jamaa yangu" ashughulikiwe kikamilifu, ndipo CCM iweze kupitisha hayo maboya yao, kwa kuendelea to bank on ignorance ya Watanzania, kuwa chochote watakachopewa na CCM hivho ndicho!, hata tukipewa tambara la deki, tutandike mezani!, tutatandika!, na tukiwa convinced kutumia majhi ya chooni kusuuzia sahani zetu za chakula ndipo tupakue tule, tutasuuzia!. Kama Watanzania tutakuwa tumeamka, CCM wakimpitisha Membe, tutamshauri "jamaa yangu" a cross the border, and it will be the high time kumbadili mpangaji wa Magogoni!.

Pasco
 
Pasco njoo huku muzee mamumvi kaguswa huku...

Nipo sana tuu!.
 
Mkuu Pasco naheshimu sana michango yako ndani ya jukwaa hili,kwani mimi ni kati ya wengi ambao tumevuna mengi kutoka kwako.

Ebu nambie, hujawahi kuwaza kuhusu Wassira? Lakini Je! Jk amekazana na awamu ijayo tunahitaji vijana, nini maana yake?

Lakini ebu niweke wazi, na yawezekana jibu lako laweza kuwa faida kwa wenzangu na Mimi. Swali ni hili, Lowasa anakubalika au anajikubalisha?
 
Back
Top Bottom