Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
Huyu naibu katibu mkuu wa chama chetu lazima tumtazame vinginevyo atakimaliza chama.
Uchaguzi wa kata nne za udiwani Arusha, alipoenda kule upepo ukabadilika na tukapigwa 4-0.
Uchaguzi wa jana maeneo yote alikopita Nchemba wiki jana,ccm imeangukia pua
Karatu alivikwa hadi uchief lakini jana matokeo mmhhh....
Bukoba mjini penye mitaa zaidi ya 60,ukawa wamebeba zaidi ya 40.
Biharamulo, Ngara,Ukerewe na kote alikopita tena wiki jana hali ya matokeo sio nzuri hata kidogo.
Lakini jamani jamaa zangu wa humu ambao huwa tunahakikisha ccm inatetewa ilimradi kila jioni tuchukue buku saba; wako wapi tangu jana mchana?
Ritz1,Lizaboni,Faizafox,Chabruma,Simiyu yetu,Mwana Diwani,T2015CCM,n.k njooni bwana chama jf kinaangamia

Kama mnataka mkulu amalize salama ngwe yake msije mkajaribu kubadilisha matokeo ambayo tayari yameishafahamika UKAWA imeishinda. Ni angalizo muhimu sana.i....
Msikimbie tu matokeo rasmi yatakapotoka.
iejaa tele naona mnavyodanganyana tu, sisi twangoja matokeo rasmi, burdaan wa sharaba, hatuna wasi, ushindi tulionao ni zaidi ya wa kishindo.

"iejaa" ndio nini?.....
Endelea kusubiri meli airport.
nimejaa tele naona mnavyodanganyana tu, sisi twangoja matokeo rasmi, burdaan wa sharaba, hatuna wasi, ushindi tulionao ni zaidi ya wa kishindo.
Msikimbie tu matokeo rasmi yatakapotoka.
Kwani bukoba kuna matokeo rasmi zaidi ya yaliyokwishatoka?