n
na hata wewe hufugiki!!!!!
haya yalianzia chadema yetu!!!na ndio maana hawa viongozi wa ajbu ajabu kama wakina mbowe ni lazima watoke kwa ustawi wa upinzani
Wewe mwanachadema ntogwisangu,
1 Unawezaje kuwa mwanachadema unayeongozwa na viongozi wa ajabu ajabu. Mtoto wa nyoka ni nyoka. Anayeongozwa viogozi wa ajabu ajabu yeye anakuwaje? Narudia, nina mashaka na uanachadema wako.
2) Kama wewe ni mwanachadema umekosea kanuni na taratibu kuwapinga viongozi wako hadharani kwa staili ya ccm. Humtaki Dr Slaa, Mbowe na Mimi unadai nimeacha uanaharakati. Ndani Chadema wewe unamkubali nani?
hapa umenena kaka angu!!!!lakini kumbuka kila mtu ameumbwa na tabia zake!!!wapo wanaovumilia kama wewe na wakina mtatiro!!!na nyinyi wengi ni kwa maslahi yenu baada ya kuutelekeza uhanarakati uliowafikisha hapo!!!!unadhani kafulila alitendwa sahihi chadema!!mbona Zito alimuunga mkono na alisema pasipo kumung'unya maneno kwamba katibu mkuu amekosea!!!ok inaweza ikamgharimu lakin yote katika yote Mungu yupo na yeye ndiye muweza!!!
Katika kuhakikisha anapambana na kufunika hoja ya wanachama wanaotaka James Mbatia ajieleze kuhusu kukidhoofisha chama na kuwa kibaraka wa CCM tayari Mbatia amemvua Kafulila Ukatibu mwenezi wa NCCR Taifa na Mwenyekiti wa kina Mama Taifa, Bi Amina pia kavuliwa waadhifa huo.
Kwa kuwa Mbatia anaona Kafulila na wenzake 28 waliosaini waraka wa kutaka ajieleze na apigiwe kura za kutokuwa na imani nae ndipo amechukua jitihada za kuwapunguza wanaoweza kupunguzika, hivyo kwa sasa wamebaki 26, anapanga kupunguza wengine wanne ili apate idadi anayoweza kuishinda, wajumbe hao ni wale wanaoteuliwa na Mwenyekiti ili kuwa wajumbe katika halmashauri kuu..
tayari kikao cha halmashauri kuu kimeitishwa jumamosi ijayo huku wajumbe wasiomtaka wakiwa hawajajulishwa ili wasihudhurie na hatimaye amvue Kafulila uanachama ili kujilinda, anaona hiyo ndio njia pekee maana hana namna nyingine ya kujinusuru, na baada ya kujibu hoja ameanza kufukuza wauliza hoja kwani hana majibu kwa mujibu wa waraka na ushahidi uliotolewa.
Kafulila karibu CCM mkuu! Tupo sisi chama kongwe tutakuhifadhi tu.
wewe unataka kuleta mada nyingine 7M ni kitu gani?Mbona unakuwa mkali? Au unajihami, hauko tayari kuulizwa swali hilo hilo kuhusu katibu wako siyo.
Anyways, mchungaji hula madhabahuni aisee. Pengine halipwi 7m, lakini kwa vyovyote Mbatia atakuwa anakula kupitia siasa meen!!
Kimsingi,nakubaliana na hoja kuwa Mbatia ana matatizo,lakini kwa hakika Kafulila ana matatizo zaidi.....na anaonekana ana tatizo la kupenda madaraka,na ndicho kilichomtoa CDM,maana huku CDM alikuwa anataka kulazimisha kumuweka Zitto kwenye madaraka...nadhani anapaswa kubadilika,namkubali sana kwa hoja makini na zenye mshiko,ila sikubaliani na matendo yake anayoyafanya,na yatamuathiri kisiasa...............
haya yalianzia chadema yetu!!!na ndio maana hawa viongozi wa ajbu ajabu kama wakina mbowe ni lazima watoke kwa ustawi wa upinzani
Tunajua huko ni dodoki linafyonza kila kitu.Kafulila karibu CCM mkuu! Tupo sisi chama kongwe tutakuhifadhi tu.
Yes Kafulila was right even HR is right but they should follow proper path.Hivi kwanini mtu akitaka kutumia haki yake ya kidemokrasia kama mwanachama mnapenda kusema analazimisha
?kwani kosa la kafulila cdm lilikua ni nini zaidi tu ya kutofautiana mawazo na wasiopenda mabadiliko?kutofautiana mawazo ni jambo la kawaida kabisa katika ustawi wa demokrasia,kafulila kumuunga mkono zitto kugombea nafasi iliyotangazwa na chama chake hakua na kosa lolote,kungekua na makosa kwa zitto kutangaza nia ya kumkabili mbowe basi angeanza kufukuzwa zitto kwa kukosa adabu na kjaribu kumpima ubavu mboe,lazima muelewe haiwekani watu wooooote mkawa na mawazo sawa,na hili ndio tatizo la vyama vyetu hapa bongo,watu wanapenda kulazimisha woooote muwe na mawazo sawa,hakuna kitu kama hicho,tujifunze kukubali kutokubaliana ili tusonge mbele,kafulila was right by then,he is right now hapo nccr,Hamad Rashid nae na moto wake aliouwasha kule cuf pia yuko right,hawa viongozi wa vyama walio madarakani hata kama tunawapenda kiasi gani kukidhi matakwa ya demokrasia lazima wawe tested,hawawezi kukaa milele kwenye hizo chances
Yes Kafulila was right even HR is right but they should follow proper path.