Pamoja na ushindi wa kuridhisha wa CHADEMA, ulioniduwaza zaidi ni wa NCCR Mageuzi. From no where, chama tulichokuwa tunakiona kimekufa, kimeweza kuibuka na kubeba majimbo matatu (kama sio mawili) ya ubunge?!!!!!! For me it was amazing. Naaamini strategy yao ya kuandaa watu strong inafaa sana....
Mkuu Ramos,
Sio majimbo matatu bali ni majimbo manne tena mkoa mmoja. Hata mimi nimeshindwa kuelewa nini kimetokea mkoa wa Kigoma?
Hivi matokeo ya udiwani yakoje kwenye mkoa huo? Huko kuna haja ya kufanya utafiti kujua nini kimetokea.
Huenda factor kubwa ni wagombea wenyewe, kwamba hao wa NCCR walikuwa wanauzika zaidi ya wengine lakini ilikuwaje mpaka NCCR ikawa na wagombea bora sana kwenye mkoa mmoja tu?
Kama NCCR ina wapenzi wengi huko, kwanini 2005 hawakupata hata mbunge mmoja?
Hongera NCCR kwa mafanikio hayo makubwa huko Kigoma.

Mhe Kafulila alikuwa Kada wa CHADEMA. hao wengine walikuwa ama CHADEMA au CCM. Kura za maoni ziliwafanya wahamie NCCR. Mfano ni Mbunge wa Muhambwe. Kwenye kura za maoni za CCM kulitokea Mizengwe. Yeye na Ntagazwa wakakimbia CHADEMA wakamchukua Ntagazwa, Huyo akaenda NCCR. Kwa hiyo haishangazi na wala si jitihada za NCCR bali ni bahati tu kwa Chama hicho.Mkuu Ramos,
Sio majimbo matatu bali ni majimbo manne tena mkoa mmoja. Hata mimi nimeshindwa kuelewa nini kimetokea mkoa wa Kigoma?
Hivi matokeo ya udiwani yakoje kwenye mkoa huo? Huko kuna haja ya kufanya utafiti kujua nini kimetokea.
Huenda factor kubwa ni wagombea wenyewe, kwamba hao wa NCCR walikuwa wanauzika zaidi ya wengine lakini ilikuwaje mpaka NCCR ikawa na wagombea bora sana kwenye mkoa mmoja tu?
Kama NCCR ina wapenzi wengi huko, kwanini 2005 hawakupata hata mbunge mmoja?
Hongera NCCR kwa mafanikio hayo makubwa huko Kigoma.
Usishangae mkuu. Wa-Kigoma walikuwa wanaangalia watu sio chama. Vijana wote ni wazuri kwa kuzungumza japo tusubiri matendo yao kwa miaka 5 ijayo kama wataweza kuwafanyia wananchi wao mambo ya maendeleo. Wengi wana washirika CHADEMA, kama Kafulila ambaye alikuwa CHADEMA akaondoka. In other words, ugomvi ndani ya CHADEMA umewakosesha majimbo Kigoma
Pamoja na ushindi wa kuridhisha wa CHADEMA, ulioniduwaza zaidi ni wa NCCR Mageuzi. From no where, chama tulichokuwa tunakiona kimekufa, kimeweza kuibuka na kubeba majimbo matatu (kama sio mawili) ya ubunge?!!!!!! For me it was amazing. Naaamini strategy yao ya kuandaa watu strong inafaa sana....
Mkuu Ramos,
Sio majimbo matatu bali ni majimbo manne tena mkoa mmoja. Hata mimi nimeshindwa kuelewa nini kimetokea mkoa wa Kigoma?
Hivi matokeo ya udiwani yakoje kwenye mkoa huo? Huko kuna haja ya kufanya utafiti kujua nini kimetokea.
Huenda factor kubwa ni wagombea wenyewe, kwamba hao wa NCCR walikuwa wanauzika zaidi ya wengine lakini ilikuwaje mpaka NCCR ikawa na wagombea bora sana kwenye mkoa mmoja tu?
Kama NCCR ina wapenzi wengi huko, kwanini 2005 hawakupata hata mbunge mmoja?
Hongera NCCR kwa mafanikio hayo makubwa huko Kigoma.
Kwanza hawa wagombea wote wa NCCR walikuwa CHADEMA na kuhamia NCCR ulipotokea mgogoro wa kina kafulila.kwa kifupi ni kwamba wagombea wenyewe walikuwa karibu na wapiga kura wao na wanauzika.labda kitu ambacho ninachojiuliza ni nani aliyewapa elimu ya uraia watu wa kigoma kwani ni tofauti sana na watu wa mikoa mingine.
Itabidi pia tufanye na utafiti wa Jimbo la Kyela kwa nini wanampenda sana Dr!