assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,904
- 4,050
mkuu usikurupukeubunge lushoto kupitia nccr vipi?! Na kwa nini isiwe kuuzima ccm?
mkuu usikurupuke
nimesema kuwatoa ccm pamoja na nyie magaidisijakurupuka mkuu nimeuliza tu tena kwa nia njema kabisa! Kama nia ni nccr kuing'oa chadema wakati kuna majimbo mengine yanashikiliwa na ccm ina maana wewe huoni umuhimu wa kuchukua majimbo hayo nyie nguvu mnazielekeza kwa chadema halafu muiache ccm iendelee kupeta?!
Huo ndio msingi wa mimi kukuuliza kuwa "vipi ubunge lushoto kupitia nccr?"
nimesema kuwatoa ccm pamoja na nyie magaidi
na hili nalo unafanya debatemkuu!
Kwa heshima na taadhima zote hebu itendee haki dhamira yako, vaa akili yako halisi kisha sema ulipo ugaidi wa chadema.
Nia ni kuitoa ccm madarakani au kupambana na chadema isiyo kuwa madarakani? Put sense in your mind and fight the true enemy.
hatutaki siasa za chuki na kususatatizo la nccr ni kwa mwenyekiti wake kukubali kiti maalum cha ccm hivyo kuleta taswira kwamba kuna agenda ya siri kati ya ccm,cuf na nccr.otherwise is a good political party.
hatutaki siasa za chuki na kususa
Huna lolote mjinga tu wewe ugaid wa cdm uko wapi!?nimesema kuwatoa ccm pamoja na nyie magaidi
mtafute lwakatare akupe ile cd uichekiHuna lolote mjinga tu wewe ugaid wa cdm uko wapi!?
Kwanin basi alifutiwa mashitaka ya ugaidi? Unatumiwa wewe sio bure!mtafute lwakatare akupe ile cd uicheki