NCCR Kuizima CCM na Chadema 2015

assadsyria3

JF-Expert Member
Apr 9, 2013
6,904
4,050
Kama kuna chama kimejipanga kimkakati ni nccr mageuzi kinaendesha siasa za kistaarabu na kiungwana na si siasa za matusi kebehi na kujiona. Kina sera zinazoeleweka na si kama ccm au chadema ambao hata kwenye bajeti iliopita imeprove kuwa chadema hawana sera mbadala bali kazi yao kulalamika hivyo hawana sera mbadala kwa taifa ivo kuwa sawa na ccm. Kwa msingi huo nccr mageuzi tunaona hakuna wa kuzuia kuichukua nchi hii 2015.
 
Chama ni sera mikakati na kutekeleza majukumu ya siasa bila chuki, ugaidi au wizi wa mali ya taifa
 
Hizo propaganda zenu na kujikombakomba kwa CCM kutawatokea puani nyie subirini tu
Au ndo mmeanza kujipanga "kuokoa jahazi" mwaka 2015 nini?
 
mkuu usikurupuke

Sijakurupuka mkuu nimeuliza tu tena kwa nia njema kabisa! Kama nia ni NCCR kuing'oa Chadema wakati kuna majimbo mengine yanashikiliwa na ccm ina maana wewe huoni umuhimu wa kuchukua majimbo hayo nyie nguvu mnazielekeza kwa chadema halafu muiache ccm iendelee kupeta?!

Huo ndio msingi wa mimi kukuuliza kuwa "Vipi ubunge Lushoto kupitia NCCR?"
 
sijakurupuka mkuu nimeuliza tu tena kwa nia njema kabisa! Kama nia ni nccr kuing'oa chadema wakati kuna majimbo mengine yanashikiliwa na ccm ina maana wewe huoni umuhimu wa kuchukua majimbo hayo nyie nguvu mnazielekeza kwa chadema halafu muiache ccm iendelee kupeta?!

Huo ndio msingi wa mimi kukuuliza kuwa "vipi ubunge lushoto kupitia nccr?"
nimesema kuwatoa ccm pamoja na nyie magaidi
 
nimesema kuwatoa ccm pamoja na nyie magaidi

Mkuu!

Kwa heshima na taadhima zote hebu itendee haki dhamira yako, vaa akili yako halisi kisha sema ulipo ugaidi wa chadema.

Nia ni kuitoa CCM madarakani au kupambana na CHADEMA isiyo kuwa madarakani? Put sense in your mind and fight the true enemy.
 
Tatizo la NCCR ni kwa Mwenyekiti wake kukubali Kiti Maalum cha CCM hivyo kuleta Taswira kwamba kuna Agenda ya Siri kati ya CCM,CUF na NCCR.Otherwise is a good Political Party.
 
mkuu!

Kwa heshima na taadhima zote hebu itendee haki dhamira yako, vaa akili yako halisi kisha sema ulipo ugaidi wa chadema.

Nia ni kuitoa ccm madarakani au kupambana na chadema isiyo kuwa madarakani? Put sense in your mind and fight the true enemy.
na hili nalo unafanya debate
 
tatizo la nccr ni kwa mwenyekiti wake kukubali kiti maalum cha ccm hivyo kuleta taswira kwamba kuna agenda ya siri kati ya ccm,cuf na nccr.otherwise is a good political party.
hatutaki siasa za chuki na kususa
 
Wewe umeingia NCCR juzi tu na kupewa cheo hapo hapo na sasa umekuwa msemaji wao hapa JF.
Nenda kamshauri kwanza mkeo/mumeo(kama unaye) ajiunge na NCCR kisha ndio uje hapa kutueleza sera zao.
 
Akili ni nywele hata Asha Ngedere anazo! Hivi yule mgombea wenu (Urais) 2010 mlimtelekeza wapi?
 
NCCR ilikuwa chama cha kigoma, lakini sasa hata hiyo kigoma yao 2015 inakwenda chadema!

NCCR ni masuria wa ccm baada ya mke wa ndoa wa ccm bibi cuf

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom