Royal tour inajisifia yenyewe kwa Takwimu wala haihitaji kusifiwa..Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press yao.
View attachment 2239166
Maoni yangu:
Inawezekana kuwa hii ni namna ya kuisifu royal tour, na mimi kama mtafiti nasema data za kutoa inabidi ziende hadi miaka mingine kabla ya COVID19 ili kuweza kuona percentage increase ya kila mwaka.
Tunapotumia mwaka 2021 kama bench mark, kunakuwa na shida kwa kuwa dunia ilikuwa katika lockdown na wameanza kuondoka kwenye lockdown hivi karibuni.
Ni muhimu NBS watoe data za miaka mingi iliyopita ili tuwe katika namna nzuri ya kuanalyse hizi data pamoja ili kuevaluate royo tuor.
Nawasilisha.
Mkoba Mfuko
Upo sahihi walinganishe na 2018Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press yao....
Haya ni maagizo kutoka juu! Mkurugenzi Mkuu wa NBS mama Chua anafanya kazi kwa mkataba baada ya kustaafu hivyo hana namna bali kusifia kila kitu anachofanya Rais ili kulinda mkataba wake.Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press yao.
View attachment 2239166
Maoni yangu:
Inawezekana kuwa hii ni namna ya kuisifu royal tour, na mimi kama mtafiti nasema data za kutoa inabidi ziende hadi miaka mingine kabla ya COVID19 ili kuweza kuona percentage increase ya kila mwaka.
Tunapotumia mwaka 2021 kama bench mark, kunakuwa na shida kwa kuwa dunia ilikuwa katika lockdown na wameanza kuondoka kwenye lockdown hivi karibuni.
Ni muhimu NBS watoe data za miaka mingi iliyopita ili tuwe katika namna nzuri ya kuanalyse hizi data pamoja ili kuevaluate royo tuor.
Nawasilisha.
Mkoba Mfuko
Nchi imeharibiwa sn na CCMHaya ni maagizo kutoka juu! Mkurugenzi Mkuu wa NBS mama Chua anafanya kazi kwa mkataba baada ya kustaafu hivyo hana namna bali kusifia kila kitu anachofanya Rais ili kilinda mkataba wake.
Kwa lugha nyingine ni rushwa/ufisadi wa kulipa fadhila!
Leo naona akili yako imekaa sawaLoyal tour sio Maarufu kama Tanzania, acheni ufala
Mbona hata za miaka ya nyuma zitakuwepo. Ni wewe ndio wa kuzichimbua na kuziunga ili kupata picha pana.Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press yao.
View attachment 2239166
Maoni yangu:
Inawezekana kuwa hii ni namna ya kuisifu royal tour, na mimi kama mtafiti nasema data za kutoa inabidi ziende hadi miaka mingine kabla ya COVID19 ili kuweza kuona percentage increase ya kila mwaka.
Tunapotumia mwaka 2021 kama bench mark, kunakuwa na shida kwa kuwa dunia ilikuwa katika lockdown na wameanza kuondoka kwenye lockdown hivi karibuni.
Ni muhimu NBS watoe data za miaka mingi iliyopita ili tuwe katika namna nzuri ya kuanalyse hizi data pamoja ili kuevaluate royo tuor.
Nawasilisha.
Mkoba Mfuko
Please share link ya zinakopatikana. Zilizopo NBS ni hizi za miaka miwili tu angalia hapa National Bureau of Statistics - Tourism StatisticsMbona hata za miaka ya nyuma zitakuwepo. Ni wewe ndio wa kuzichimbua na kuziunga ili kupata picha pana.
Hapa vipi, ni sawa?Please share link ya zinakopatikana. Zilizopo NBS ni hizi za miaka miwili tu angalia hapa National Bureau of Statistics - Tourism Statistics
Hizi ni za hotel, au screen shot kilichokuwa specific cha utalii kwenye hizo docsHapa vipi, ni sawa?
National Bureau of Statistics - Hotels and Tourism Statistics
Kuna mchanganyiko wa hotel and international visitors exit surveys.Hizi ni za hotel, au screen shot kilichokuwa specific cha utalii kwenye hizo docs
1. International visitor sio lazima awe mtalii, kuna watafiti etcKuna mchanganyiko wa hotel and international visitors exit surveys.
Au kaangalie Taarifa za Hali ya Uchumi Tanzania (The Economic Survey) Publications | MoF - Ministry of Finance and Planning
Royal Tour haina na haitakuwa na impact yoyote kwenye takwimu za utalii. Nchi zilizoendelea wanaujua utalii wa Tanzania kuliko watanzania wenyewe wanavyoujua including rais wetu! Ni mzungu gani asiyejua neno ''safari''?Please share link ya zinakopatikana. Zilizopo NBS ni hizi za miaka miwili tu angalia hapa National Bureau of Statistics - Tourism Statistics
Loyal tena?Loyal tour sio Maarufu kama Tanzania, acheni ufala
Naona sina namna zaidi ya kukusaidia kwani inaonekana hausomi vilivyomo ndani ya hizo taarifa!1. International visitor sio lazima awe mtalii, kuna watafiti etc
Nilidhani unajua takwimu za watalii zilipo lakini naona unashare links kwenye takwimu zisizohusika. Jua kwenye sites nyingi za serikali huwa natembela kuangalia takwimu tofauti tofauti. Hiyo ya wizara, niambie kitabu gani kina takwimu za watalii
Mwaka 2007 au 2008 nadhani- sikumbuki sawasawa, Bush alikuja Tanzania kutafuta kiwanja cha kujenga ofisi za jeshi la Marekani za Africa Command, ambazo nadhani hadi leo bado ziko ujerumani. Katika safari ile Bush alionyesha kuwa na good time sana Tanzania; kuna wamarekani wengi walioaifahamua Tanzania vizuri kutokana na safari hiyo ya bushi, na hivyo kuanza kuwa wanakuja wengi sana Tanzania. Sifa ya kuvuta watalii wa kimarekani imwendee Kikwete ingawa alimnyimba Bush kiwanja huko Kigamboni nadhani kutoikana na pressure ya AU.Loyal tour sio Maarufu kama Tanzania, acheni ufala
Sasa umejitekenya ukacheka mwenyewe mkuu. Ni wapi wamesema kuwa ongezeko hilo ni matokeo ya royal tour?Aprili 19 Ofisi ya Takwimu (NBS) walitoa data za kuonesha uingiaji watalii nchini ambayo kwa takwimu zilizopo ukilinganisha na mwaka 2021 utalii umeongezeka. Naweka Jedwali kwa mujibu wa press yao.