NBC names David Gregory host of 'Meet the Press'

Kwa wale wenzangu, naona David Gregory ndio ana kabidhiwa torch rasmi kuendeleza libeneke la "If it's sunday, it's meet the press." Bado nam-miss sana Russert (rip)...ingawa Tom Brokaw kajitahidi sana!!

Mods kazi kwenu, hii ni thread ya kwanza mie kuanzisha...hivyo sina "mashule" ya taratibu zake....happy sunday everybody:D;)


[media]http://news.yahoo.com/s/ap/20081207/ap_en_tv/tv_nbc_gregory[/media]

I am not happy na decision ya NBC, ingawa ninapenda kazi ya uandishi ya David Gregory especially alipokuwa White House correspondent, simuoni Gregory kama effective and successful long term replacement ya late Tim Russert. Sijui kwa nini NBC wame lower bar ya Meet The Press (MTP) namna hii. Siku za late Tim Russert, MTP ilikuwa ikiongoza kwa ratings na kuzitimulia vumbi shows nyingine za namna yake zilizokuwa kwenye similar time slot kama zile za, Fox News Sunday-Fox News, Face the Nation - CBS news, na This Week ya ABC.
Nakubaliana na wewe YNIM kwamba Tom Brokaw na yeye pia alifanya his very best. I wish NBC executives wangemwacha aendelee na kipindi wakati wakitafuta replacement ambayo ni solid. Hata Matt Lauer angeweza kuwa a good interviwer, na choice nyingine ingekuwa Gwen Iffil.
This is a bad move.
 
Msee,
Asante sana...Nakubaliana na wewe kwa kiasi flani na hizo opinions zako! Mie ni shabiki wa David Gregory, na kama ulivyosema hapo juu alicheza Pele kinoma enzi zake akiwa WH NBC's Cheif correspondent...jamaa ana potential hasa ukiangalia umri wake na yale alo-accomplish so far, kama yule dogo (aloajiliwa na Russert kuripoti toka Middle East, na maanisha Richard Engel) wana mafanikio sana.

Ingekuwa amri yangu ningetaka chaguo liwe Chuck Todd ( nae pia alipewa kazi na marehemu Russert), ingawa sina uhakika na uwezo wake ktk ku-interview watu...lakini jamaa anaijua politics ya U.S...

Tumwombe mafanikio David Gregory......

Go Pats!!

Mzee, good points. Kikubwa ni kumu wish good luck apate mafanikio, kwani itakuwa painful kuwaangalia akina Brit Humme na Bill Cristal kule Fox News. Let me take you back to my previous comment. Nafikiri u-bias wangu dhidi ya Gregory ni kutokana na mimi kutokupata opportunity ya kumwona sehemu nyingine zaidi ya White House akiuliza maswali. I know he's a smart guy, lakini kutokana na mimi kuona journalist kama Gwen Ifill, na Matt Lauer wanavyofanya usaili, nika draw conclusion yangu hapo...but nothing personal against Gregory.

Go Gators...defeat Sooners!
 
Back
Top Bottom