tzjamani JF-Expert Member Joined Oct 9, 2010 Posts 995 Reaction score 33 Nov 1, 2011 #1 nimejiunga na internet banking but naweza kuona balance tu bahama ya activities zote. Nimewapigia mara kibao but hamna kinachochange. Amkeni
nimejiunga na internet banking but naweza kuona balance tu bahama ya activities zote. Nimewapigia mara kibao but hamna kinachochange. Amkeni
DASA JF-Expert Member Joined Jan 6, 2011 Posts 1,031 Reaction score 302 Nov 1, 2011 #2 tzjamani said: nimejiunga na internet banking but naweza kuona balance tu bahama ya activities zote. Nimewapigia mara kibao but hamna kinachochange. Amkeni Click to expand... Fuatilia vizuri, sijui kwanini inakuwa hivyo. hata mimi ilikuwa hivyo baadae walirekebisha. Ninachoshangaa mbona nchi zingine hii huduma ni bure lakini hawa NBC inabidi ulipe elfu 50 unapojiunga.
tzjamani said: nimejiunga na internet banking but naweza kuona balance tu bahama ya activities zote. Nimewapigia mara kibao but hamna kinachochange. Amkeni Click to expand... Fuatilia vizuri, sijui kwanini inakuwa hivyo. hata mimi ilikuwa hivyo baadae walirekebisha. Ninachoshangaa mbona nchi zingine hii huduma ni bure lakini hawa NBC inabidi ulipe elfu 50 unapojiunga.