nbc ndio benki inayolipa mishahara kidogo sana (kwa wafanyakazi wanaoonana na mteja moja kwa moja, ie makeshia, watoa huduma za maulizo na wapokea wageni). Watu hawa hawathaminiwi kabisa na daraja lao ni BB, walikuwa wakiitwa Bank Clerks, sasa wanaitwa Bank Officers.
Mishahara yao ni duni mno, licha ya kuwa wafanyakazi wa benki hiyohiyo mishahara yao ni mikubwa mno.
Morali yao ya kufanya kazi ni ndogo, muda mwingi ni wagonjwa wa stress na dipression.
Wao ndo wako busy na bahasha zao mkononi kusambaza cv's, je huo muda ambao mteja anataka huduma nzuri atapata wapi???
Hawa wafanyakazi wa chini baada ya kupeleka kero zao kwa Mafuru, mafuru aliwaambia kama hawaridhiki na mishahara walambe lapa, kwa hasira watu hawa wakamtengenezea zengwe Mafuru hadi akasima,ishwa kazi.
Leo bank hall hamna staff , kuna kimgomo cha chinichini, Mafuru ajue hilo