NBC Bank Si Salama.

NBC Bank Si Salama.

tajirijasiri

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
2,863
Reaction score
3,854
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuutaarifu umma kuwa usalama wa Pesa za watanzania katika benki ya NBC si wa uhakika.

Kuna wizi wa ndani kwa ndani unafanyika katika account za wateja. Nipende kuwaomba wateja wote wa benki hii wafike katika matawi ya NBC ili waangalie Bank statement zao.

Pia niwaombe Usalama wa Taifa, Benki Kuu ya Tanzania, Wizara ya Fedha, Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Polisi na Mamlaka zote zinazohusika, watume timu zao kwa ajili ya kuichunguza Benki hii Kongwe nchini.

Mambo yakiachwa yaendelea hivi, mamilioni ya Watanzania yatapotelea kwa mafisadi wachache.
 
Haya ni madai mazito lakini ili ueleweke hebu fafanua ni nini hasa kimetokea.
 
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuutaarifu umma kuwa usalama wa Pesa za watanzania katika benki ya NBC si wa uhakika. Kuna wizi wa ndani kwa ndani unafanyika katika account za wateja. Nipende kuwaomba wateja wote wa benki hii wafike katika matawi ya NBC ili waangalie Bank statement zao. Pia niwaombe Usalama wa Taifa, Benki Kuu ya Tanzania, Wizara ya Fedha, Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Polisi na Mamlaka zote zinazohusika, watume timu zao kwa ajili ya kuichunguza Benki hii Kongwe nchini. Mambo yakiachwa yaendelea hivi, mamilioni ya Watanzania yatapotelea kwa mafisadi wachache.

Nafikiri hizi ni tuhuma nzito sana kwa benki yote kwa ujumla! haya mambo hutokea na unapaswa kuripoti kwenye benki husika! kuleta mada kama hii mahali kama hapa ni kujaribu ku-damage taswira ya benki husika na najua unafanya hivi kwa urahisi kwasababu ID yako halisi haiko revealed!

Nakushauri uende au uwaandikie barua NBC ninaamini watahandle vizuri suala lako lakini zaidi utawasaidia kujua tatizo na ukubwa wa tatizo! Binafsi niliwahi kukuta pesa yangu imepungua katika akaunti yangu kwenye benki moja jina ninalihifadhi,niliwaandikia barua na nikakutanishwa na Manager anayeshughulikia malalamiko ya wateja ambaye alinisaidia na marekebisho yakafanywa katika akaunti yangu na bado ninaendelea kubenki na benki hiyo!

Nakushauri badala ya kuipaka matope NBC shughulikia suala lako kwa njia zinazostahili tatizo ni kwamba watanzania tumekosa uaminifu sana hilo haliko NBC pekee ndiyo maana nimesema ni vyema ufuatilie suala lako vizuri badala ya kukimbilia kuichafua benki hiyo!
 
Peleka maelezo Benki kuu na details za kuwasaidia kufanya uchunguzi. Yawezekana madai uliyotoa ni kweli lakini yanafanywa na mtu au kikundi kidogo pale Benki; uliyoeleza utafikiria ni mpango wa Benki kufanya uharamia huo!
 
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuutaarifu umma kuwa usalama wa Pesa za watanzania katika benki ya NBC si wa uhakika.

Kuna wizi wa ndani kwa ndani unafanyika katika account za wateja. Nipende kuwaomba wateja wote wa benki hii wafike katika matawi ya NBC ili waangalie Bank statement zao.

Pia niwaombe Usalama wa Taifa, Benki Kuu ya Tanzania, Wizara ya Fedha, Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Polisi na Mamlaka zote zinazohusika, watume timu zao kwa ajili ya kuichunguza Benki hii Kongwe nchini.

Mambo yakiachwa yaendelea hivi, mamilioni ya Watanzania yatapotelea kwa mafisadi wachache.

mkuu ndo maana mafuru kaanza nini kuogopa lawama? hebu funguka zaidi tuwahi kutoa vinjuluku vyetu. dah.
 
Jamani wana-JF msipuuzie taarifa ya tajirijasiri, ofisini kwetu kuna watu wanane wamelizwa pesa zote. Hakuna usalama wa pesa huko. Usipoamini endelea kutunza pesa huko
 
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuutaarifu umma kuwa usalama wa Pesa za watanzania katika benki ya NBC si wa uhakika.

Kuna wizi wa ndani kwa ndani unafanyika katika account za wateja. Nipende kuwaomba wateja wote wa benki hii wafike katika matawi ya NBC ili waangalie Bank statement zao.

Pia niwaombe Usalama wa Taifa, Benki Kuu ya Tanzania, Wizara ya Fedha, Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Polisi na Mamlaka zote zinazohusika, watume timu zao kwa ajili ya kuichunguza Benki hii Kongwe nchini.

Mambo yakiachwa yaendelea hivi, mamilioni ya Watanzania yatapotelea kwa mafisadi wachache.

Sio kweli. Hakuna bank hapa nchini inaulinz mkali kama NBC. Haya nimajungu tu.
 
JF full vimbwanga. Tuhuma hizi zilitakiwa ziambatanishwe japo na any document to prove them but hii sio mada ya kisiasa.
jamani hata MEMKWA hamkwenda? au ndo LEKA DUTIGITE NA KIGOMA UNIVERSITY?
 
Nafikiri hizi ni tuhuma nzito sana kwa benki yote kwa ujumla! haya mambo hutokea na unapaswa kuripoti kwenye benki husika! kuleta mada kama hii mahali kama hapa ni kujaribu ku-damage taswira ya benki husika na najua unafanya hivi kwa urahisi kwasababu ID yako halisi haiko revealed!

Nakushauri uende au uwaandikie barua NBC ninaamini watahandle vizuri suala lako lakini zaidi utawasaidia kujua tatizo na ukubwa wa tatizo! Binafsi niliwahi kukuta pesa yangu imepungua katika akaunti yangu kwenye benki moja jina ninalihifadhi,niliwaandikia barua na nikakutanishwa na Manager anayeshughulikia malalamiko ya wateja ambaye alinisaidia na marekebisho yakafanywa katika akaunti yangu na bado ninaendelea kubenki na benki hiyo!

Nakushauri badala ya kuipaka matope NBC shughulikia suala lako kwa njia zinazostahili tatizo ni kwamba watanzania tumekosa uaminifu sana hilo haliko NBC pekee ndiyo maana nimesema ni vyema ufuatilie suala lako vizuri badala ya kukimbilia kuichafua benki hiyo!
Mh... Sasa wewe huoni unalea uzembe. Mwizi anakuibia halafu unapomkamata anakurudishia wewe unaridhika na kushangilia
 
Nimesema hili ni tatizo la Benki zote kama hutaki ku-benki basi weka hela zako chini ya godoro! tatizo siyo benki tatizo ni watanzania wenzetu wasio waaminifu ambao kila kitu wanafanya deal hata pesa za wenzao zilizowekwa/zilizohifadhiwa katika akaunti wanataka wazichukue! hii ni aibu yao aibu yetu! tunapaswa tubadilike kama taifa hili haliihusu benki ya NBC peke yake linahusu benki karibia zote zenye akaunti za watu binafsi!!
 
Hii taarifa ni ya kweli 100% sisi tumepambana nao kisawasawa. Kiukweli kuna tatizo NBC hasa hawa makaburu benki imewashinda!

Lazima serikali ifanye kitu maana soon hata ACB itawapita! hawakui na huduma mbovu mno na mtu mzembe kufatilia Bank statement lazima ile kwake.
 
Acheni jaziba hilo tatizo analolisema linaukweli sio kw NBC tu ni benk zote na huo wizi unaofanyika ni wizi wa kimtandao na uchunguzi wa awali uliofanyika hela nyingine zinaonyesha zimetolewa kupita ATM za nje yTanzania lakini kwenye account za ndani.
 
Toka tumewapa makaburu aibu tupu! CRDB pamoja na mapungufu yao hawafanani na NBC kama mlima na kichuguu nini faida ya makaburu?

Soon msishangae benki ya posta iko juu ya NBC maana Akiba Commercial bank wameanza kupaa!

Tuilazimishe serikali ifanye kitu NBC! NMB ilikuwa mfu now ipo hatua nyingine kuliko NBC iliyokuwa na advantages kibao!
 
Nafikiri hizi ni tuhuma nzito sana kwa benki yote kwa ujumla! haya mambo hutokea na unapaswa kuripoti kwenye benki husika! kuleta mada kama hii mahali kama hapa ni kujaribu ku-damage taswira ya benki husika na najua unafanya hivi kwa urahisi kwasababu ID yako halisi haiko revealed!

Nakushauri uende au uwaandikie barua NBC ninaamini watahandle vizuri suala lako lakini zaidi utawasaidia kujua tatizo na ukubwa wa tatizo! Binafsi niliwahi kukuta pesa yangu imepungua katika akaunti yangu kwenye benki moja jina ninalihifadhi,niliwaandikia barua na nikakutanishwa na Manager anayeshughulikia malalamiko ya wateja ambaye alinisaidia na marekebisho yakafanywa katika akaunti yangu na bado ninaendelea kubenki na benki hiyo!

Nakushauri badala ya kuipaka matope NBC shughulikia suala lako kwa njia zinazostahili tatizo ni kwamba watanzania tumekosa uaminifu sana hilo haliko NBC pekee ndiyo maana nimesema ni vyema ufuatilie suala lako vizuri badala ya kukimbilia kuichafua benki hiyo!

Kwani tatizo liko wapi ukitangaza kwamba unaituhumu taasisi fulani kwamba wamekuibia? Kama hiyo taasisi haitaka kuharibiwa sifa, ingekuwa na watumishi waaminifu na adilifu. Kama ni kweli wamekwiba fedha ya mteja wao, acha wasemwe hadharani ili wakimbiwa na wateja na hatimaye kujirekebisha.

Tunatoa shukrani kwa kutaaridiwa na tutaambiana ili kila mwenye akaunti NBC ama awe macho kama si kuhama bank.
 
Tusidanganyane na Ma CEO wa kibongo lazima tujiulize mfumo mzima wa management ili tujue kwanini wameanza kupitwa na vibenki vidogo kihuduma hata kasi ya ukuaji wa benki hiyo ni mbovu?
 
Ninapenda kuchukua nafasi hii kuutaarifu umma kuwa usalama wa Pesa za watanzania katika benki ya NBC si wa uhakika.

Kuna wizi wa ndani kwa ndani unafanyika katika account za wateja. Nipende kuwaomba wateja wote wa benki hii wafike katika matawi ya NBC ili waangalie Bank statement zao.

Pia niwaombe Usalama wa Taifa, Benki Kuu ya Tanzania, Wizara ya Fedha, Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Serikali, Polisi na Mamlaka zote zinazohusika, watume timu zao kwa ajili ya kuichunguza Benki hii Kongwe nchini.

Mambo yakiachwa yaendelea hivi, mamilioni ya Watanzania yatapotelea kwa mafisadi wachache.
Nadhani ungeeleweka kama ungeweka details za nini kilitokea. Unavyoonekana wewe ni msomi lengo lako unataka kuwaogopesha shareholders wa NBC. Na kibaya zaidi inawezekana NBC labda wanataka kwenda kuuza share zao DSE na kwa njia hii unaonesha watu wasije kununua share za NBC. Acha kupiga majungu ya kitoto.
 
Anachosema mkuu hapo ni sahii. Japo sijui kama yeye ni muathirika wa tatizo hilo au ana ukweli wa watu wangapi wanajua hali hii. Binafsi ni muathirika wa hiki kinachosemwa nilienda kulipa direct entry cost ya chuo (Udsm) 2009 Tshs. 74500.00 nikapewa pay in slip nikidhani wameingiza malipo hayo kwenye acc. ya chuo nimevist 2012 chuo kufuatilia transcrip nikaambiwa fedha hiyo nadaiwa(haipo kwenye bank statement ya chuo) kufuatilia hapo benk nilpolipia mizungusho tena mara muhuri uliogongwa kopi ya bank slip niliyo nayo haupo ili wafuatilie mara niandike barua kudai hiyo fedha nitalipia laki moja kama GHARAMA ya kufuatilia. Ofcourse kuna haja ya kufuatilia ishu hii kwa hivyo vyombo anavyovitaja mtoa mada.
 
Mkuu.. Madai yako ni mazito bt yanaweza kuwa yanatoka upande wa pili.. Maana wabongo kwa fitina ciku hizi..!
 
Back
Top Bottom