M Mopalmo JF-Expert Member Joined Nov 11, 2010 Posts 534 Reaction score 140 May 31, 2018 #1 Hatimaye matokeo ya cpa yaliyochelewa yatolewa ni yale ya Nov 2017, waliopata CPA ni 450, kwa matokeo kamili pitia link hapo chini ,hongera kwa wote waliofanikisha www.nbaa.go.tz news
Hatimaye matokeo ya cpa yaliyochelewa yatolewa ni yale ya Nov 2017, waliopata CPA ni 450, kwa matokeo kamili pitia link hapo chini ,hongera kwa wote waliofanikisha www.nbaa.go.tz news
The mgusi JF-Expert Member Joined Feb 17, 2018 Posts 221 Reaction score 447 May 31, 2018 #2 inaonekana kupata CPA ni rahisi kuliko kufaulu law school
The Who JF-Expert Member Joined Mar 23, 2018 Posts 546 Reaction score 953 Jun 1, 2018 #3 The mgusi said: inaonekana kupata CPA ni rahisi kuliko kufaulu law school Click to expand... inaonekana wapi? angalia hizo reg no za muda gani utaelewa ni sitting ngapi walikaa
The mgusi said: inaonekana kupata CPA ni rahisi kuliko kufaulu law school Click to expand... inaonekana wapi? angalia hizo reg no za muda gani utaelewa ni sitting ngapi walikaa