NBA Season 2015 - 2016: Special thread

NBA Season 2015 - 2016: Special thread

Hii q3 naona vijana mmepotea maziwa. Ngoja tusubiri kambak q4.
 
It meant to be a game 7... Aisee ni nomaaa teh teh teh

Anybody's game till now.. 71-71
 
GSW wanacheza kama hii game wameiangalia kwenye video tayari na wanajua matokeo.. Hawastruggle kabisa kwenye rebounds.. Sijui kama wana Offensive Rebound hata moja..
 
It was known game 7 pressure kubwa itakuwa kwa Warriors na si Cleveland.. Kuna dalili za kuchoke hapa..
 
Congratulate the Cavs for a well fought battle and win.You deserved it more..
 
Hongera kwa CAVs kwa kuchukua ubingwa...well played. Na kwa timu yangu GSW, asanteni sana kwa kuleta changamoto mpya kwenye mchezo wa Basketball na poleni sana.
 
Back
Top Bottom