Sasha Fierce
JF-Expert Member
- Feb 7, 2009
- 361
- 5
It is team game, pamoja na kuwa Celtic wana wacheza wazuri sana kukosekana KG one of the big three ni pengo kubwa sana ambalo inadhaniwa lilimsababisha hata meneja wao apate minor heart attack aliposikia kwamba KG hatakuwa available kwenye playoffs. Bulls wakitulia basi wanaweza kabisa kuwatoa Celtics hata jana waliponea tundu la sindano. Huu ni mwaka wa Kobe lakini inabidi acheze katika kiwango cha hali ya juu sana dhidi ya King James and Clevaland hasa ukitilia maanani King James ana Home court advantage na walipoteza mchezo mmoja tu nyumbani katika regular season.
Na jumamosi iile maverick si waliwatengeza wao?.Maverick walikuwa wazuri zamani nadhani sasa wamechoka.
Kama ikiwezekana watu inabidi tu bet money hapa
where willt he amazing happen this year?Mimi nasema Larkers who wanna bet with me $200.00.
Sasha,
I'd love to place a bet, lakini hiyo amount mbona kubwa hivyo? Yaani na credit crunch yote hii, hiyo $200 si utauma mpaka nyongoni. LOL
Mimi nafikri tufanye kati ya $20-50....
Sasha,
I'd love to place a bet, lakini hiyo amount mbona kubwa hivyo? Yaani na credit crunch yote hii, hiyo $200 si utauma mpaka nyongoni. LOL
Mimi nafikri tufanye kati ya $20-50....
Mbona unaikimbia hiyo $200 ya haraka haraka! π. Sasha Fierce usibase your arguments kutokana na Lakers kuwafunga Cleveland 2 times during regular season. Bado nasema kwamba Lakers wanadvamte kutokana na experience kubwa waliyokuwa nayo, lakini inabidi their best player KB acheze katika kiwango cha hali ya juu ili kuhakikisha ushindi vinginevyo itakuwa kazi ngumu mno.
tsk tsk tsk tsk ok done deal $50.00 basi.Najua na hii resecion mimba.
usije tuu ukanigeuka m2wangu.Nitakukaba kabali miye mchaga tena mmachame napenda sana pesa.
Mbona unaikimbia hiyo $200 ya haraka haraka! π.
Poa. Kwa hiyo bet ni kwamba wewe una-side Lakers na mimi nina side any other timu but Lakers. Right?
By the way, nimesha "deal" na wamachame. Kwa hiyo najua sana vurugu zao...
tsk tsk tsk umenifurahisha sana inaelekea huyo mmachame wako hjamnunulia frigi la mbeho ndiyo maana akakuletea vurugu otherwise mawachame tupo very alright..
yes mimi na side na Lakers ooh no inabidi u-choose timu moja siyo unakuwa na multiple teams hiyo inakuwa siyo bet.
wenzio wanapata kwa sababu ni bilingual si unajua mekikano hawachagu kazi? wewe tatizo lako unachagua kazi ndiyo maana unakosa day waka.
Wamachame acha bana... huyo niliye deal nae alikuwa mkorofi sijapata ona. Yaani kwanza cellphone book yangu yote aliikopi kwenye cellphone yake. Basi ilikuwa kasheshe kila akikuta namba mpya kwenye simu yangu. Bado sijazungumzia jinsi alivyo-sneak kwenye apartment yangu na kujificha chini ya uvungu wa kitanda changu usiku kucha....kisa eti anifumanie!! Anyways...
Ishu ni kwamba wewe uko 100% sure kwamba Lakers watabeba. Na mimi niko 100% sure kuwa Lakers hawatabeba.
Kwa hiyo, bet ni kwamba: Lakers yes (wewe) - Lakers no (mimi).
Bet imekamilika
Mbona mimi wala sichagui kazi. Tatizo Chikano huwa wanalala pale pale mlangoni pa Labor Ready. Kwa hiyo hata ukifika saa 11 asubuhi, utawakuta tayari namba ishajaa... lol
Bubu sasa hivi game ndiyo imeanza i mean this is a really game ambayo kila mtu alkuwa anasubiria.Trust me sasa ndiyo utamuona who is KB,Huu ni wakati wa kuonyesha kile kiwango chake na kuwathibitishia wale wote wanaoona kuwa huyo King james ni better than him,which i disagree with that.King James hawezi kwanza ananiudhi he got too much ego man.Sema kobe anangozi ya kambale kila mtu ana mhate yeye hadi media ila he will prove his haters wrong.
Ile mechi ya juzi na Jazz of course hakucheza kwa kiwango ch ajuu we all knew Jazz hawawezi funga larkers.
basi kamani hivyo inabidi tupande bei that is very true miye nipo 100% lakers wanachukua ubingwa this year.Inabidi nikutumie checking account yangu mapemaaa.
acha kupenda michezo migumu migumu itakukomaza usivutie.......wewe shabikia pool table na datsGame ya jana ya Hawks na Miami sikuiona sijui matokeo yalikuwaje.
Naona Kesho Detroit na Cleverland ita suck tuu kama ya jumamosi Detroit wameshachoka sasa.
QM,Uliona vitu vya lakers jana?yaani ni 2-0 so far do you still wanna bet tsk tsk tsk.It was a great game compared to ile ya detroit na cavalier detriot wanafungwa kama watoto daaah!.
Lakers wanawaonea vibonde Jazz. Ngoja wakutane na majibaba. Kuhusu bet yetu, ni wewe tu... Mi' niko tayari
lol...lolπ
acha kupenda michezo migumu migumu itakukomaza usivutie.......wewe shabikia pool table na dats
acha kupenda michezo migumu migumu itakukomaza usivutie.......wewe shabikia pool table na dats
QM,Uliona vitu vya lakers jana?yaani ni 2-0 so far do you still wanna bet tsk tsk tsk.It was a great game compared to ile ya detroit na cavalier detriot wanafungwa kama watoto daaah!.
Babu atakakusema, so far mpaka jana Kobe bado hajakuridhisha how do you define kiwango chake cha jana?.Hata charles Barkley jana kasema Lakers are playing to win and they will win.you watch them,come to think about this right kila team kwenye hizi playoff wanakuwa wanamtegemea mtu mmoja akiumia ujue team itakwenda mrama check out Lakers babu yake kuna Kobe,Fisher,Odom,alafu kijana Ariza watu weeeh.do you have anything to say?