Nba player dwight howard alikwenda monduli kisiasa au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nba player dwight howard alikwenda monduli kisiasa au?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Jethro, Aug 18, 2011.

 1. Jethro

  Jethro JF-Expert Member

  #1
  Aug 18, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 2,223
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  Wana JF,

  Jana Mdau mmoja alinipasha kuwa alikuta na mchezaji maarufu duniani wa mpira wa kikabu a.k.a NBA BASKETBALL DWIGHT HOWARD (Orlando Magic) Arusha AirPort. Akiwa ametokea Monduli kwenda kuona shule mmoja ya wasichana issue ilikuwa ni mabweni na alitoa mchango wake wa kiasi cha Million 90 Tsh,

  Cha ajabu mdau huyo alijiuliza maswali mengi iweje huyu bwana kuingia nchini kimya kimya oky sawa kaja kimya kimya ila kampuni iliyo mleta ni Kilombelo Tours ambayo ni changa na inamilikiwa na Ndugu zake Rostam Azzi Aliyekuwa Mbunge wa Igunga.

  Sasa huyo D. Howard alikuja kutaliii au alikuja kisiasa au ni kuja ku contribute kwenye community zetu au?

  Wadau Munasemaje kuhusu hili????

  Karibuni kuchangia
   
 2. seniorgeek

  seniorgeek JF-Expert Member

  #2
  Aug 18, 2011
  Joined: Sep 18, 2008
  Messages: 500
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Kama ingekuwa ni kisiasa, basi kungekuwa na publicity ya kutosha, press conference ya kufa mtu na jamaa angetoa hata ka endorsement ya kishkaji kwa Lowassa. Lakini the fact kwamba jamaa kaja kupitia a legit foundation, katoa mchango wa maana tena wenye tija na tena amekuja kimya kimya, mi naona kama amekuja for a good course.
   
Loading...