John dillinger
JF-Expert Member
- Jun 15, 2020
- 2,003
- 2,267
Phoenix suns y kina Chris Paul naona nao wapo vzuri msimu huuGolden State Warriors wana jambo lao msimu huu
Phoenix suns y kina Chris Paul naona nao wapo vzuri msimu huuGolden State Warriors wana jambo lao msimu huu
Game 7 right now...
Bucks Vs Celtics
Baadae another game 7...
Suns Vs mavericks
Hakuna kulala leo
Laker Haina miujiza sanaLAKERS
Na Boston celtic ndo wanaongoza kwa kuchukua ubingwa NBABoston Celtic mwaka huu ni waoView attachment 2488753
Kalingana na los Angeles lakerNa Boston celtic ndo wanaongoza kwa kuchukua ubingwa NBA
Hii dynasty kali ila bahati ndo hawanaDallas fans tujuaneView attachment 2488925
3 pointer killer