Keil,
..hawa Cavs walikuwa na best record kwenye regular session.
..sasa hivi kuna vijimaneno kwamba LeBron aliwa-subortage kwenye fnals za East Conference vs Celtics.
..kwa msingi huo Cavs siyo wabaya sana. kinachotakiwa ni kutafuta labda wachezaji wawili ambao in combination wanaweza kufanya kile alichokuwa akifanya Lebron in that team.
..vilevile Cavs wamepata 1st round and 2nd round pics kutoka Miami Heat na Toronto Raptors kwa hiyo next draft they will be very busy.
..hawa wanaweza kuja kuwa tishio kama Portland Blazers au Okhlahoma Thunders.
..timu nyingine inayotisha sasa hivi ni Chicago Bulls. they have Carlos Buzzer and Noah on the inside and they are trying to sign JJ Redick who is an accomplished 3 pts shooter, halafu ongeza na vijana kama Dereck Rose etc.