Abdulhalim
Platinum Member
- Jul 20, 2007
- 17,199
- 3,019
Magic wamejikomboa 76 - 75...kijana M Pietrus ni mkali!
We still have a ball game.
Nnayo mashaka kama Magic wanaweza kutuliza kitenesi wakati inapo-matter..walishindwa kufanya hivo kwenye G2. Sijui lakini tusubiri tuone.