NBA Finals..L.A.Lakers Versus Orlando Magic.

Magic wamejikomboa 76 - 75...kijana M Pietrus ni mkali!
We still have a ball game.

Nnayo mashaka kama Magic wanaweza kutuliza kitenesi wakati inapo-matter..walishindwa kufanya hivo kwenye G2. Sijui lakini tusubiri tuone.
 
Nnayo mashaka kama Magic wanaweza kutuliza kitenesi wakati inapo-matter..walishindwa kufanya hivo kwenye G2. Sijui lakini tusubiri tuone.

Nakubaliana nawe kabisa.Hapa ndipo unajua kua experience
muhimu...Playing under pressure.
 
Fisher kapiga three!!!!...Game tied at 87...duh!!!!
4.6 secs to go Orlando ball.
 
Back
Top Bottom