NBA 2016/2017 Season Special Thread

NBA 2016/2017 Season Special Thread

[HASHTAG]#SweepCity[/HASHTAG]
 

Attachments

  • IMG_4663.JPG
    IMG_4663.JPG
    39.3 KB · Views: 45
[HASHTAG]#21Straight[/HASHTAG]
Duh, ulivyofurahi leo utadhani mmeutwaa ubingwa...haya bwana.

[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StrengthInNumbers[/HASHTAG]
 
Duh, ulivyofurahi leo utadhani mmeutwaa ubingwa...haya bwana.

[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
[HASHTAG]#StrengthInNumbers[/HASHTAG]
Nilivyofurahi? Umetumia vigezo gani kuijua hiyo furaha yangu?
 
Clippers nawaonea huruma sana, yaani jamaa kila playoffs lazima kuwe na majeruhi.

Ni siku nyingi sana Big 3 yao ya Griffin, CP3 na Jordan hawajawa pamoja kwenye playoffs.
 
Very good start to Raptors' offensive team.
 
On their way to another NBA Finals with CAVS. I don't think Houston or San Antonio have the means and ability to stop this team.

Hii ya GSW nayo kiboko...22-3 na starters wote wamefunga...!
 
Back
Top Bottom