NBA 2016/2017 Season Special Thread

giphy.jpg

Hawa jamaa ni zaidi ya TEAM..!
[HASHTAG]#DubNation[/HASHTAG]
 
On their way to another NBA Finals with CAVS. I don't think Houston or San Antonio have the means and ability to stop this team.

San Antonio wana kibarua kizito kwa Memphis, game zote zilizobaki inabidi nizione, dah very competitive games.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Huyu mzee anafurahisha sana...anyways ni vizuri anachangamsha jukwaa.
Hivi kwanini mashabiki wa Cavs mnapenda muonekane peke yenu kwenye hili jukwaa..!?
Mngeanzisha Cavs special thread ingekua vizuri zaidi..!
Katimu kenu kanashinda dhidi ya timu dhaifu kama Pacers mnakuja humu kusumbua,but nobody cares...
Ikishinda GSW hamtaki watu wapost..!
Kkkkkkkkk

Mkuu huo ndo ushabiki wenyewe sasa! Sidhani just because Yanga "wapo" basi washabiki wa Simba ni lazima kukubali kuwa "wapo". Cha msingi na wewe potezea hao Cavs tu kama mi nnavyofanya (ila si lazima). Ndo raha ya ushabiki, vichuki flani hivi vya kiuongouongo, jazba mbili tatu, kutoelewena mpaka page 4 hivi, basi siku na jukwaa hili vinasonga tu. Ingekuwa kila mtu (na hapa namaanisha wote humu ndani) tunashare common understanding asee sidhani kama pangenoga kiviile.

So mkuu George Betram we usikonde, GSW tutafika Finals na hapo ndipo mjadala huu utanoga kwa back-and-forth arguments of who performs best. Until then, let's chill bro and win games.
 
Jamaa analilia kupendwa, ha ha ha, hata timu ishinde game zote 82, then ifanye sweep series zote nne kuwa bingwa haiwezi kupendwa na kila mtu.

Naona Mag3 kapata mfuasi, maana naye ndo anaongoza kwa kulia eti kwa nini hatuipendi GSWs wakati yeye mwenyewe anazunguka zunguka kuisifu mpaka atumie maneno ya watu wengine, just be straight and have fun.

Eti GSWs tunawazuia kupost au mnaona aibu kupost!
 
Siwezi lilia kupendwa,isipokua wewe una ushabiki wa kike..!
Hilo tu ndio tatizo..!
 
Playoffs games bomba sana. Hata Pacers na CAVS ilikuwa bomba sana pamoja na Pacers kuwa swept lakini ilikuwa na ushindani michezo yote minne.

Kweli mkuu, ila mimi Memphis wamenifurahisha sana kuifanya series iwe ya 2-2, maana ile 2 - 0 kocha wao aliongea kulalamikia FTs, nikasema ngoja tuone ikihamia kwao jamaa.

Hawaja disappoint mpaka sasa, Bulls vs Celtics nayo iko supa sana.
 
Ni kweli kabisa Mkuu. Bulls na Celtics nayo ni bomba ila mimi nimeshangazwa sana na performace ya IT. Huyu baada ya kufiwa na dada yake ambaye walikuwa very close nilidhani performance yake ingekuwa affected. Sikutegemea washinde game mbili pale Chicago lakini kutokuwepo kwa Rondo nadhani kumewasaidia kwa namna moja au nyingine. Ningependa kuwaona angalau wanafika kwenye Finals za Eastern Conference.

Kama Bulls wakishinda game 5, Rondo atakuwepo game 6, so ngoma itakuwa ngumu, ila kama ikitokea game 5 Boston akashinda naona kabisa wanapita.

Dogo kaendelea kupambana, hata zile game walizoshindwa bado alijitahidi sana.

Kwa sasa naangalia hizo series mbili tu, maana OKC vs Houston imeshaisha ni kama.

Zingine naona hazina mvuto kivile.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Atlanta na Washington nayo ina ushindani mkali Atlanta wameweza kutie 2-2, sasa wajitahidi kushinda game 5 lakini si kazi rahisi ila inawezekana.

Atlanta simwamini sana, naona hata akipita hatatoa ushindani kwa opponent atakayekutana naye round hiyo, ila Washington wakikutana na Celtics itakuwa series nzuri sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Hilo ni kweli kabisa. Tunapenda kuona ushindani zaidi katika round zinazofuata.

Atlanta simwamini sana, naona hata akipita hatatoa ushindani kwa opponent atakayekutana naye round hiyo, ila Washington wakikutana na Celtics itakuwa series nzuri sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom