NBA 2016/2017 Season Special Thread

.....hawataki kuonyesha their defence tactics, they have clinched a playoff spot already...kama ulimsikia Coach Lue majuzi baada ya defeat dhidi ya Wizards...
Defence katika basket sio siri uifiche uvunguni aisee its either you hustle for it or you dont have it, kumbuka pia kwenye Basket rhythm ni muhimu, brons na lue wake wasipobadili mbinu wakadhani kuna switch ya kuwasha na kuzima itakula kwao
 
Tokea lini Nyani likacheza basket!!!! wewe ni mtumwa wa wamarekani lazima utawala huu wa trump uchapwe kobiro

Mkuu kuna msemo wanasema ukienda Roma ishi kama Waroma, jaribu kupitia posts za humu, hii siyo lugha ya humu man, hata kama una bifu naye nadhani kuna majukwaa unaweza kumkuta.
 
Defence katika basket sio siri uifiche uvunguni aisee its either you hustle for it or you dont have it, kumbuka pia kwenye Basket rhythm ni muhimu, brons na lue wake wasipobadili mbinu wakadhani kuna switch ya kuwasha na kuzima itakula kwao
....wewe wasema hivyo...ila Coach Lue and Co. said what I wrote. And I believe they know waaaaay better than you, that's why they are in NBA! What are you to question their tactics?!?
 
Kingine kinachonivutia huu Uzi jinsi ambavyo brothas mnatema yai kana kwamba mmezaliwa kwenye viunga vya jiji la newyork au Atlanta.

Kumbe kuna waliozaliwa kwa mtogole,majimatitu,gezaulole,kolomije na ikungulyabashashi

Kikubwa mmejiongeza sana .

Mi nilizaliwa pale manzese kwa mfugambwa .

I learn a lot from you fellas

Hope one day Yes No more vilevile
 
....wewe wasema hivyo...ila Coach Lue and Co. said what I wrote. And I believe they know waaaaay better than you, that's why they are in NBA! What are you to question their tactics?!?
Kama ndio tactics yenu haya endeleeni ila hakikisheni mmetoboa East mje mle kichapo chenu.
 
I learn a lot from you fellas

Hope one day Yes No more vilevile

Ha ha ha, mkuu unajua kufuatilia mchezo ambao taarifa zake ni mara chache kuzipata kwenye Gazeti la Mwanaspoti, Championi, Dimba au Spoti Starehe inabidi ujiongeze mkuu.

Maana nimejaribu kuangalia blog za Bongo angalau ni Shafii Dauda ndo anaandika habari za NBA kwa kiswahili, vinginevyo utazikuta ESPN, Bleacher Report, NBA.com na kwingine ambako ni kwa kilugha.
 
East is guaranteed, hope mtawaweza SAS, otherwise mwaka huu finals mtazisikia.
Lazima mfanye adjustment kwenye defence na naona injury pia zinawasumbua, Spurs wabishi sana wale wababu lakini dawa yao hua ni durant akiwa fresh uhakika wa kutoboa mkubwa.
 
Habarini za masiku wakuu. Dah, asee ni muda mrefu umepita bila ya kuja'pay a visit pande hii. Dah naona idadi ya wafuasi wa uzi huu imeongezeka kitu ambacho ni jambo zuri sana.

Naona pia League inaendelea kiushindani sana, sio kama msimu uliopita ambao ulikuwa umetawaliwa na Cavs na GSW since day one to the last. Leo hii Celtics wako top seed, Cavs they still my bet on the East (ingawa kama mnavojua, niko team moja na kina Steph Curry, Mag3 Tyta @Alegria de Povo) na team yangu pendwa GSW naona this time around tumepitia schedule yenye mushkeli haswa na injury ya KD kiasi kwamba kuna moment baada ya kusoma articles za ESPN nkasema "sasa tumepata a bit of tough ride, na kama tumeweza bounce back to the top, well...we are all good then"

Asee nimemiss sana zile back-and-forth arguments, fact-by-fact za Nzi & Nyani Ngabu Vs. Mag3, Tyta na Steph Curry.

Salamu kwenu wakuu woote wa uzi huu.
 
Vizuri, playoff kicks zinaanza, naona mwaka huu washabiki wa GSWs mlikimbia jukwaa kabisa aisee, siyo kama ule mwaka mlioweka rekodi ya 73-9, kulikuwa hakukaliki humu.

Ila regular season za mwaka huu ziko so quite.
Asee mbali na kukimbia jukwaa, majukumu yanabana sana siku hizi, na mizunguko mingi inakufanya unapitwa na mengi.
Ila msimu huu asee hata kama mtu ungekuwa free, kuna kadegree ka utoro kangehitajika maana si kwa hizi back-to-back losses nlizosoma na YouTube clips za out-of-sync GSW. Ila hapa nyumbani tu asee, lazma tutarudi wote.
 
...kwa hiyo mazee wewe mtu mwenye triple doubles ni selfish?
Zinasaidia nini kama hizo triple doubles hazikupi ushindi na kama una force multiple plays ili uzipate?? Game ya Houston na OKC after third quarter Russ wangempuumzisha tu sababu walishaonekana kupoteza na walikuwa na back to back games na Dallas.. Ilikuwa bahati tu wakawafunga Mavs kwa shida sana. Ila Russ aliendelea kucheza fourth quarter yote ili tu apate triple double..

Listen dude; Curry today was doing what Kawhi Leonard has said. Kawhi once said, that he always sees those stats and numbers because people show it to him saying they are better than him. (I think those guys were Russ, Lebron, and Harden) I can't remember what he exactly said, but he was like "Those are just numbers. Why does it matter when I beat them everytime we face off?" Straight badass.... So tell me what does those triple doubles bother Curry while he has beaten him 4 times on regular series.. Russ and Harden are always Curry's bitches with their triple doubles.. Amempiga Harden kwenye western finals, kampiga Russ kwenye western finals na regular season ndio anawacharaza kila msimu..
 
Defence katika basket sio siri uifiche uvunguni aisee its either you hustle for it or you dont have it, kumbuka pia kwenye Basket rhythm ni muhimu, brons na lue wake wasipobadili mbinu wakadhani kuna switch ya kuwasha na kuzima itakula kwao
Mkuu huyo jamaa ubishi ni asili yake... Actually nishamjua who he is in real life.. Kuna kipindi nilishabishana nae kule Facebook kwenye maswala ya soka na alichokuwa anakibishia kikaja kutokea in no time..

Fans wenyewe walioko Ohio wana hofu na defense ya timu yao alafu mtu yupo pale Tazara anabishia na kusema wanaoponda ni fans wa Warriors.. Ebu pitia page ya twitter ya Cavs uone wanavyopiga mayoe huko..
 
We choko unapenda sana kufuatilia mambo ya Marekani eeh?

Kurinsi wewe:D:D:D:D:D:D:D:D:D
 
Habarini za masiku wakuu. Dah, asee ni muda mrefu umepita bila ya kuja'pay a visit pande hii. Dah naona idadi ya wafuasi wa uzi huu imeongezeka kitu ambacho ni jambo zuri sana.

Naona pia League inaendelea kiushindani sana, sio kama msimu uliopita ambao ulikuwa umetawaliwa na Cavs na GSW since day one to the last. Leo hii Celtics wako top seed, Cavs they still my bet on the East (ingawa kama mnavojua, niko team moja na kina Steph Curry, Mag3 Tyta @Alegria de Povo) na team yangu pendwa GSW naona this time around tumepitia schedule yenye mushkeli haswa na injury ya KD kiasi kwamba kuna moment baada ya kusoma articles za ESPN nkasema "sasa tumepata a bit of tough ride, na kama tumeweza bounce back to the top, well...we are all good then"

Asee nimemiss sana zile back-and-forth arguments, fact-by-fact za Nzi & Nyani Ngabu Vs. Mag3, Tyta na Steph Curry.

Salamu kwenu wakuu woote wa uzi huu.
Karibu boss... Naona Tyta bado yupo mafichoni anasubiria Play offs
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom