NBA 2016/2017 Season Special Thread

A NEW RECORD IS SET:13 THREE POINTERS....
hqdefault.jpg

CC:Raimundo,Soso J,Nzi,King Shaat ,Mag3,BAK,Steph Curry,Alegria do povo

Mkuu wapi aisee!
 
.....hawataki kuonyesha their defence tactics, they have clinched a playoff spot already...kama ulimsikia Coach Lue majuzi baada ya defeat dhidi ya Wizards...
acha urongo mkuu.. you are trying so hard but your defense sucks...

Hakuna cha kuspare the tactics mpaka Play offs wala nini..
 
Ha ha ha, mkuu playoffs zinakaribia, tunaficha siraha.

Ila SAS siwasomi kabisa mwaka huu, wanaweza kuharibu sherehe za watu.
 
Mwisho wao ni Western finals na hata bwana madevu anaweza kuwachapa hao SAS..

Mwaka jana walikuwa moto kuliko hivi lakini bado pamoja na home court advantage walipasuliwa na KD akiwa na dogo mchoyo Russ..
 
Inawezekana mkuu, ila Babu Pop simwaminigi kabisa yule mzee, anaweza kukaza muda wowote.
 
Ameshazeeka hana lolote... Ngoja tukutane nao kesho kutwa KD akiwa nje lakini tutawafunza adabu..

Ha ha ha, kati ya watu hawaeleweki kwenye regular season ni yule babu, hata haya mambo ya kupumzisha wachezaji chanzo ni yeye mpaka kila kocha anaiga kwa sasa.

Ila mimi bado namwamini.
 
Mkuu subiri surprise yake hapo kesho kutwa..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom