NBA 2016/2017 Season Special Thread

Cavs hivi vipigo sivielewi kabisa, naona kuna kitu wananitafuta si bure.
Worry not bruh! Cavs are just coasting...hivi ndivyo Bron's teams ufanya...kama umeona, they are not spending too much energies on defensive end...ku-defend kuna drain players' energies. They are saving it for postseason...naona hata GSW wameanza kuiga, na game dhidi ya Spurs, wanapumzisha 4 of their starters..
 
LeBron kaweka triple double ya nane lakini Detroit wakabana tu kwani hamna tena namna. Hakikisheni kwanza nafasi yenu kwenye playoffs ndio mruhusu vitimu kuwafunga kirahisi rahisi la sivyo ohoooo! Chukueni tahadhari...ni onyo tu.
Nafasi kwenye playoffs? What you talkin about? Au ulimaanisha 1st seed?
 
Worry not bruh! Cavs are just coasting...hivi ndivyo Bron's teams ufanya...kama umeona, they are not spending too much energies on defensive end...ku-defend kuna drain players' energies. They are saving it for postseason...naona hata GSW wameanza kuiga, na game dhidi ya Spurs, wanapumzisha 4 of their starters..

Game ya Spurs na GSW itakuwa famba, nimeona pia Leonard yuko kwenye Concussion Protocol, si ajabu babu Pop akampumzisha LaMarcus Aldridge maana babu anaijua mwenyewe.
 
Spurs wanamkaribia GSW kwenye standing za West, sasa wazee wa homecourt adv.

upload_2017-3-13_9-25-47.png
 
...nahisi watu wengi wanasubiria playoffs tu sasa...maana Cavs na GSW zote zimesha-clinch playoff spots...
bado regular season ina ladha.. kuna teams kama blazers bulls milwaukee miami pistons bdo hazijajihakikishia playoff spot so hz games zao za mwishon zinakua kali sana. personally I'm a big fan of Lillard so bdo nafatilia hz games 2 see how things end.
 
Denver wako moto na leo wanamkalisha Cavs...

Lillard play offs wajiandae mwakani, mwaka huu hawawezi kuwashusha Nuggets pale..
 
  • Thanks
Reactions: BAK

...ina ladha kwako, lakini siyo kwa wengi humu walio washabiki wa Cavs na GSW...yaani mtu aamke saa 7 ama 8 usiku [kwa Ulaya] au saa tisa ama kumi alfajiri [kwa Bongo] kwa ajili ya kuangalia hivyo vitimu ulivyovitaja?
 
lets wait n see.. ila kumbuka blazers iko behind denver kwa game moja tu.. denver akipigwa n blazers akishnda next game there's some hope.
 
hivyo vitimu vinawakalishaga hao cavs gsw na spurs wenu kama kawa.. na mtu anaeangalia hizo big teams tu hajui basket.
 
..kuwakalisha, and then what? Sawa wewe unayejua 'basket'...wengi humu tunajua basketball au b-ball...
tatizo ni kusema basket bila kumalizia ball? teh.. so anaesema anaenda ground kupiga kikapu kakosea? ulitaka aseme anaenda kupga mpira wa kikapu??
 
lets wait n see.. ila kumbuka blazers iko behind denver kwa game moja tu.. denver akipigwa n blazers akishnda next game there's some hope.
Mna game nao 29 March na mtaicheza kwenu... Aisee katika game 12 alizobakisha Nuggets ana road trip ya game 5 ambazo tatu kati ya hizo anacheza na timu zinazogombea play offs spot, moja atacheza na Rockets ambao tayari wana uhakika na moja watacheza na NOLA... Alafu game 4 za mwisho atacheza na Pelicans ambaye anaweza kumwachia lakini ana OKC mbili na Mavs moja (Mavs nao wanaigombea hiyo 8 seed).

Blazers nao road trip mlishamaliza mna game 3 tu away kati ya 12.. Na game ngumu mlizobakiza ni 4 tu za Spurs, Rockets na Utah 2...

Mkikaza play offs mnaichukua lakini mtaishia first round..

well put, ila mi sio fan wa Blazers mi fan wa Lillard, napenda kumuona huyu jamaa akipga kikapu, one of the best point guards. hawawezi kufika mbali kwenye playoffs ila they're troublesome.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
well put, ila mi sio fan wa Blazers mi fan wa Lillard, napenda kumuona huyu jamaa akipga kikapu, one of the best point guards. hawawezi kufika mbali kwenye playoffs ila they're troublesome.
Too bad yupo West... Hata All Star anaishiaga kuisikia tu..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom