NBA 2016/2017 Season Special Thread

Naona sasa hivi hata majirani nao wameanza kuishiwa punzi..!!

Safi sana heat naamin kuna siku mtarudi tu.
Its just a regular season game kaka kama leo triple double ya lebron james na 49 point za kyrie zilivokua si kitu kwa pelicans ambao hata Antony Davis hakuwepo
 
Mfalme anasema hivii, anazeeka !! Je hii ni sababu mpya ya Cavs kupoteza game after game na si Just a regular season game?

d1c59183ee27a1343727a30b0930e32f.jpg
 
Naona sasa hivi hata majirani nao wameanza kuishiwa punzi..!!

Safi sana heat naamin kuna siku mtarudi tu.
Duh! Umetokea wapi mwenzetu...karibu tena jamvini.
Mfalme anasema hivii, anazeeka !! Je hii ni sababu mpya ya Cavs kupoteza game after game na si Just a regular season game?
Hapana, si hivyo...si unajua tena wenzetu, hizi regular games si lolote, si chochote. Wanasubili prayoffs, oops hapana, wanasubiri playoffs!
 
Nina wasi wasi na matokeo ya Cavs! Nahisi kama LBJ ameamua kuonesha kwa vitendo uhitaji wa mchezaji mwingine.
 
Nina wasi wasi na matokeo ya Cavs! Nahisi kama LBJ ameamua kuonesha kwa vitendo uhitaji wa mchezaji mwingine.

No need to push the panic button just yet.

They are just going through a rough patch right now, which is normal.

Same thing happened last season.
 
No need to push the panic button just yet.

They are just going through a rough patch right now, which is normal.

Same thing happened last season.

LBJ amekuwa akilazimisha kupata guard player muda mrefu, front office haioni kama kuna umuhimu wa hilo, hasa kwa kuwa wana kikosi kizuri na matokeo hayakuwa mabaya.

Kwa mtazamo wangu LBJ ameamua kulegeza ili wapigwe mechi kadhaa kuilazimisha menejimenti kufanya maamuzi ya kununua mtu.
 
Hivii

Ilishindikana nini kumleta Wade pale hadi akaenda Bulls?

Haya ndio matatizo ya kuwa one man team, yaani siku instrumental player asipokuwa kwenye good form tu kichapo ni guaranteed.

Simaanishi kwamba naunderestimate uwezo wa the rest of players hapana, ila ukweli ndio uko hivyo... Mtu kama Kyrie Irving yuko kwenye kiwango bora kabisa lakini utegemezi wake kwenye team hauwezi kulingana na LBJ, vile vile pia JR Smith tangu atoke majeruhi amekuwa kama sio yeye vile hadi muda mwingine unahisi hayumo. Kiufupi ni kwamba CAVS bado inamtegemea sana Lebron na hivi vipigo 6 kati ya mechi 8 ni uthibitisho tosha kabisa, angalia mara zote LBJ hayuko kwenye kiwango chake.

Tulitakiwa tufanye usajiri wa maana zaidi msimu huu si unaona hata kwa majirani pamoja na kuwa na splash brothers lakini bado wakaona haitoshi wakaongeza bunduki nyingine ya maana zaidi kuliko hata waliokuwepo.

Hata FC barcelona walipoona overrelience yao kwa Messi inawacost pale Messi anapo flop, waliamua kuongeza bunduki nyingine mbili zenye kukaribiana na Messi leo hii ukiongelea Barcelona unongelea MSN na sio Messi tena.

Coaching staff itabidi wasipuuzie hivi vipigo hata kama ni regular season tu.
 
Kwani kyle korver hatoshi wajameni au mchukueni Chris paul hata nendeni kwa Carmelo Antony, Finals mtafika tu acheni wasiwasi Hakuna wa kuizuia Cavs East na kama wanavosemaga its just a regular season games which Lebron and company dont care they care about playoffs
 
Hata mi naamini tutafika tu japo hiki kipindi cha mwezi mmoja kimeleta wasi wasi tatizo nimeona king anatumika sana na unavyofahamu kwa umri wake sasa hivi ni rahisi kupata tiredness ikaathiri perfomance yake kwa muda mrefu.

Ndio maana nasema itabidi coaching staff washughulikie mapema hili
 
Korver to Cavs? Wooooh! That would be a killer move!
Kutokuwepo kwa JR, subiri JR akirudi na nguvu mpya hata Lebron akikaa nje no shida.
Ishu sio Cavs kufungwa, kumbuka kuna mechi lazima u sacrifice
Kwa sisi CAVS tunaangalia big matches, tayari GSW kwetu kashakua kichochoro ndio cha msingi kwa sababu tunauhakika tunakutana nae tena kwenye finalls
Kitu ambacho watu wengi hawaelewi ni kwama Cavs hawajali sana regular season kama GSW, ndio maana siku nyingine utasikia LeBron, Kyrie and Love hawachezi, wanaelewa kwamba season yao haswa huanza playoffs ndio maana utaona wanafungwa na vitimu vya ajabu.
JF raha sana...!
 
x240-ZY9.jpg

LeBron

maxresdefault.jpg

Westbrook

Namna mpya ya kupambana na Warriors...kaaazi kweli kweli!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom