Ubumuntu
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 14,316
- 10,782
All-star selection ina-base kwenye individual brilliance, na siyo team's brilliance. Ndiyo maana Davis yumo kama starter ilhali Pelicans hawapo kwenye nafasi ya kuingia hata playoffs. As a player, Russell is far better than Curry and Harden so far in this season. Ndiyo maana players voted for Westbrook as number 1 player in the backcourt.Sasa Mkuuu Nzi, hebu kwa mfano tu, naomba niongelee MVP tu...je, anaweza kutoka kwenye timu ambayo haikufaulu hata kufika kwenye playoffs? Je mchezaji wa timu iliyoshika mkia anaweza kuchaguliwa MVP kwa sababu tu anaongoza kwa ama steals, au rebounds, au points, au assists? Nilifikiri uzuri wa mchezaji unaangaliwa kwa namna anavyoshirikiana na wenzake na kuiwezesha timu yake kushinda!