NAY WA MITEGO FEAT DIAMOND MPIRA GANi

NAY WA MITEGO FEAT DIAMOND MPIRA GANi

CompaQ

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2012
Posts
281
Reaction score
134
NAY FT DIAMOND…..
SONG: MPIRA GANI?
CHORUS
DIAMOND.
HIVI nyie SIMBA SPORT Mnachocheza
kitu gani,
Mara WATOTO mara Kukosa penati
sasa
ndo mpira gani.
NAY WA MITEGO.
HII ndo Simba SC, Waasisisi wa kula
rambirambi.
Kutwa kucha kufungwa magoli
ugenini
na nyumbani. X 2
VERSE 1, DIAMOND.
Hata kocha wa yanga alinambia
mpira
unahitaji kutulizwa,
Udambwidambwi na kanzu pia
ukicheza
rafu utaupoteza,
Mpira ni sawa na binti mzuri, ndo
maana
unachezwa na wachezaji wazuri.
NAY.
Aah piga kimya, hawa simba
hawafai
tena hawana maana
Wachezaji simba kila siku
wanarogana.
Babu yetu alitwambia mpira ni
kama
binti, mbona Simba wanachezewa
na
kutemwa kama Big G.
Mara Libolo, mara Yanga, mara Azam
mara Kagera.
Je wanafanya mpira kama shati??
DIAMOND.
Hata wazee wa zamani
walishasemaga
kazi na dawa
Cha muhimu uwanjani ni
kuhakikisha
wanapagawa.
Ukichezea manyoyanyoya ndo
wanataka.
Badilika usiwe mjinga nawe
utawapapasa.
 
CompaQ Umenitisha saaana! Nimecheka mpaka wife kanishangaa ananiuliza vp unaumwa? You made ma day!
 
Mmh watu wachokozi...unaishi wapi nikutafute..npe hm address yako
 
Hahhahaha wapi yanga watu na timu zao

Sent from my BlackBerry 9360 using JamiiForums
 
Chezea yanga wewe hapa uchawi unagonga mwamba

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
NAY FT DIAMOND…..
SONG: MPIRA GANI?
CHORUS
DIAMOND.
HIVI nyie SIMBA SPORT Mnachocheza
kitu gani,
Mara WATOTO mara Kukosa penati
sasa
ndo mpira gani.
NAY WA MITEGO.
HII ndo Simba SC, Waasisisi wa kula
rambirambi.
Kutwa kucha kufungwa magoli
ugenini
na nyumbani. X 2
VERSE 1, DIAMOND.
Hata kocha wa yanga alinambia
mpira
unahitaji kutulizwa,
Udambwidambwi na kanzu pia
ukicheza
rafu utaupoteza,
Mpira ni sawa na binti mzuri, ndo
maana
unachezwa na wachezaji wazuri.
NAY.
Aah piga kimya, hawa simba
hawafai
tena hawana maana
Wachezaji simba kila siku
wanarogana.
Babu yetu alitwambia mpira ni
kama
binti, mbona Simba wanachezewa
na
kutemwa kama Big G.
Mara Libolo, mara Yanga, mara Azam
mara Kagera.
Je wanafanya mpira kama shati??
DIAMOND.
Hata wazee wa zamani
walishasemaga
kazi na dawa
Cha muhimu uwanjani ni
kuhakikisha
wanapagawa.
Ukichezea manyoyanyoya ndo
wanataka.
Badilika usiwe mjinga nawe
utawapapasa.

kweli simba wamechoka msimu ujao wasipoangalia vizuri watashuka daraja..
 
Back
Top Bottom