NYUKI MPOLE
Member
- Apr 27, 2015
- 29
- 5
Hama, hama kaka tena fasta. Ninavyojua majumba ya kiswahili hapo ndo umewasha moto watakukalia vikao na kukuundia zengwe, ni bora tafuta nyumba yenye hadhi yako na uhamie, hapo ndo kwanza watakukalia rohoni sana
Wapige tu.......
Mdogo wako atajifunza kutokubali kuonewa na kunyanyaswa
Askari akili zenu finyu sana
ha ha ha ha ha ha ha
gwanda unaanika wiki nzima
ha ha ha ha ha ha
Kauli ya pinda inawadanganya nyinyi
yani unawaza dogo! Acha hayo bwana.hapo ndo unamfundisha kuwa u must be strong ingawa kupuuzia ni jibu zuri.
Me mwenyewe nahisi uzalendo utanishinda hapa coz kuna ka-beki tatu naona kameanza kunitolea maneno yasiyo na adabu,na hii imeanza baada ya kuanza kumwo binti mzuri anaingia sn mwangu na anakuwa anajua kabisa napiga kazi.sasa kataumia siku nikiamua kukazaba.
Mkuu yani usiumize kichwa,hapo heshima tayari.
Yaani hadi hapa bado sikuelewi................
ndugu merengo m naona sawa ulivomcharaza uyo dada na mimi nasema akija tena mpige tu na mumewe akija mpige tu mana hamna namna sasa, mdomo wake mchafu tena apigwe tu.
yani umempiga mume mbele ya mke..hyo umenunua vita..nachokushauri hama hapo..
alafu muda mwingine uwaze kabla hujatenda unanzaje kupigana na mwanamke ngoja aende polisi utaisoma namba..
mwisho wa thread yake kahisi hao wapangaji wenzie wanamchukulia poa kwa kuhisi yeye ni dogo...ndo maana akasisitiza kwa kuweka mfano kuwa, 'kuna siku alikuwa kwenye gari na msichana, huyo msichana akakamatwa na trafic na ktk mazungumzo akaombwa rushwa, then akampa askari hela ndogo (hela ya soda) huyo askari akahitaji zaidi akimwambia huyo mdada kuwa amwambie yeye (mleta mada) aongeze hela, ndipo huyo dada akajibu akim-mention mleta mada kama 'dogo' kusisitiza hawezi kuwa na hela, na trafic akaona kuna logic (means alivyomwangalia mleta mada, akaona ni dogo kweli na hawezi kuwa na hela) so akawaacha waende! sasa seems ilimboa moyoni mleta mada...like..'mimi nina muonekano kama wa madogo!?'
umeelewa? hivi ndo nilivyoelewa mimi!

MKUU, Hapo Unahangaika na xhule za St.Kayumba