Nawezaje solve this?

Nawezaje solve this?

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,255
Habari zenu wana MMU,

Leo ilikuwa siku ya kukwazika sana ila ahsante MUNGU now nipo oky.Nimekuja kutaka kupewa hints au solution jinsi ya kuhandle hii situation, may be nianze kwa kusema haya. Mimi ni kijana wa makamu, najitegemea pia nina jukumu la kumsapoti mdogo wangu katika kuendesha life (anasoma chuo kwa sasa), sasa nahisi leo nimeonyesha mfano mbaya kwake, na huwa najiribu kumweka katika raman ya kujifunza vitu kwangu.

Leo wakati natoka kweny majukumu yangu nikakutana na hali ya kunikwaza kidogo, ninapo ishi ni nyumba za kupanga na tunashare kamba za kuanika nguo familia mbili. Huyu mpangaj wa jirani ana mkewe mwenye maneno sana, mara kadhaa dogo amewah kuja na kunieleza anavyosumbuliwa na vijiamaneno sometimes na visa kadhaa, hili la leo limetokea kwangu na kuthibitish utumbo wa huyu mwanamke.

Nilifua nguo jana nimeamika kamba moja, kutokana na mvua za jana nguo ni nzito zingine hazikukauka, so zikalala hapo, asubuh nimetoka zikiwa zina dalili ya kuwa poa, narudi nakuta nguo zimevutwa zote sehemu moja, zingine zipo chini ingawa nimeweka vibanio.Nilicho tafakari kwa haraka ni kuwa kuna mtu kasogeza ili aanike za kwake, kuzicheki za chumba cha jirani.

Nikaend kuuliza why nguo zangu zivutwe vile na zingine ziwekwe chini halafu waanike zao? Huyu mwanamke akanipa jibu la kivuvuzela yani, wew tangu jana umeweka nguo zako na sisi tuweke zetu wapi, gwanda zako nzito pia hazikauki, khaa!kiustarab nikauliza tena thou nilikuw na temper, kwani kamba ya pili si ilikuwa wazi,? kirahis akajibu bwana wew nilikuw na nguo nyingi.

Muda huo mumewe yupo na mshikaji tu, anasikia na kuona yote, nikaon hawa they look down on me nikaend kwenye kamba ,nikakusanya nguoni zake na kuweka zangu vizuri, hasa galfa naon mwanamke anarusha maneno ya kashfa, hasira zikapanda nikacharaza makofi ,I dont hit women, bt huyu ali cross line, hasa la kushangaza naon mumewe anatoka nje anataka kupigana, nikqwa namkwepa bt akazid ku insist, nikamlamba makofi, na mateke wakalal ndani.

But honestly nimeumia sana, najiulza wanafanya hivi kwasababu wamehisi mimi mdogo wa umri so wananchukulia poa…? maan pia ninewah kuwa na girl kwa gali yake aliwahi kuniita mdogo wake ili asipigwe pesa ndefu na traffic. Sina umbo dogo,nipo musclar kidgo.Nawezaje solve this, kurudisha amani na hawa jirani zangu? then nionekane older kama age yangu ilivyo?Mdogo wangu atanionaje,anajifunza nini? Nimewaza sana haya.

Samahan kwa uhandishi mbovu, ila naomba sikia mawazo yako.
 
maan pia ninewah kuwa na girl kwa gali yake aliwah kuniita mdogo wake ili asipigwe pesa ndefu na traffic

.

Pole..........ila hapa sijakuelewa kabisa.........ulikuwa unamaanisha nini.......?........
 
Dah! Umepigana kwa chanzo cha kugombania kamba ya nguo. nimecheka na kusikitika sana. Hivyo usijali ndiyo life yatapita tu kama upepo. Mdogo wako kama yupo +18yrs hajifunzi chochote toka kwako labda atakuzuga tu kufanya yale unayoyapenda kwa sababu unamtunza lakini akitoka hapo anaanza kuishi kwa sera zake
 
Dah! Umepigana kwa chanzo cha kugombania kamba ya nguo. nimecheka na kusikitika sana. Hivyo usijali ndiyo life yatapita tu kama upepo. Mdogo wako kama yupo +18yrs hajifunzi chochote toka kwako labda atakuzuga tu kufanya yale unayoyapenda kwa sababu unamtunza lakini akitoka hapo anaanza kuishi kwa sera zake

Ishu si kamba dude,,…! bt hizo kelel na majibu ya hovo.
 
Wakat ujao yakupasa ujue kunyamaza ni hekima,usishindane na mwanamke hata siku moja..
 
Wakat ujao yakupasa ujue kunyamaza ni hekima,usishindane na mwanamke hata siku moja..

Ni vema mkuu. Ila kuna baadhi ya mambo una paswa ku QN kama yakiwa si sawa.
 
Pole..........ila hapa sijakuelewa kabisa.........ulikuwa unamaanisha nini.......?........

ilikuw trafic anatak mkwanja mrefu hasa binti akampa ya kunywa soda atauchie akidai hana pesa ingine, akaambiwa mwambie mwenzio huyo aongezee.
Binti akajibu, huyu mdogo wangu hana bana.
 
Ishu si kamba dude,,…! bt hizo kelel na majibu ya hovo.
Kamba ndiyo chanzo bana! Jifunze kujua gharama za ugomvi kabla hujapigana. Jitahidi kujua nini hasa unachopigania na thamani yake. Ukiweza hayo utaishi kwa raha sana
 
Kamba ndiyo chanzo bana! Jifunze kujua gharama za ugomvi kabla hujapigana. Jitahidi kujua nini hasa unachopigania na thamani yake. Ukiweza hayo utaishi kwa raha sana

Ishu ni heshima mkuu. Wew ingekuw hivyo,ungefanyaje…??
 
Maandiko yanasema pia huwe kimya kama mienendo yao ikiwa si sahihi…?

Wewe naona unataka kubishana tayar una majibu kichwan mwako ambayo hutaki yakabadilishwa,wewe yatakiwa mwanamke akikuletea mdomo mdomo mtandike makofi jamaa ake nae akija mtandike makofi,askari wakija nao tandika makofi...
 
Hama, hama kaka tena fasta. Ninavyojua majumba ya kiswahili hapo ndo umewasha moto watakukalia vikao na kukuundia zengwe, ni bora tafuta nyumba yenye hadhi yako na uhamie, hapo ndo kwanza watakukalia rohoni sana
 
Dah mkuu next time ww piga kimya kama huwategemei kivyovyote we salimia then pita Mbona watakuwa hawakusemi unavyo pay attention nao ndio watazidi kukuzingua ...live ur life
 
Ishu ni heshima mkuu. Wew ingekuw hivyo,ungefanyaje…??

kama ishu ni heshima we ndo umevunja heshima zaidi, tena zaidi!!

Mi nakushauri nenda kawaombe msamaha yaishe fasta, wakienda polisi ujue unalo, na uchomoki!! ulifuatilia ishu ya bondia Cheka? ndo masihara sihara hivo mtu akala mvua
 
Kama unahisi umekosea ni vyema ukawaomba msamaha tu, ila umekosea kwa kiasi kikubwa kumpiga mtu na mkewe sijui ungejisikiaje kama ingekua ni wewe, lakini yamesha tokea we watake radhi tu halafu achana nao haswa huyo mama.
 
Back
Top Bottom