Nawezaje kutumia Jf bila data?

Nawezaje kutumia Jf bila data?

chakii

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2013
Posts
21,369
Reaction score
27,785
Heshima kwenu wakuu, kuna taarifa kwanza kampuni ya mawasiliano ya Tigo Tanzania imeingia mkataba na Jamii Forums ili kuwawezesha watumiaji kuingia Jf bila makato ya ada kwa mteja wa Tigo.

Naomba kufahamishwa namna ya kuingia Jf bila data.

Nashukuru.
 
Hii system ya kuandika thread kama vile unaleta tips au Hints then ukifungua Heading iko differ na contents nini maana yake umeshindwa kuweka question mark at the end...dah kwa hio mistake napuuzia hii thread na kutotoa maelezo yoyote.

Dah, mkuu msaada wako nauthamini sana.

Hayo ni makosa ya kimaandishi tuvumiliane tu ndugu, kama una jibu la tatizo langu msaada wako nautegemea mkuu.
 
kama unatumia mtandao wa tigo, kwa kupitia Internet.org Unaweza kupata free access ya mtandao mbalimbali kama Jamii forum, gazeti la mwananchi, zoom tanzania, BBC swahili, na mengine mingi.

Kwa kupitia simu yako ya tigo ingia hapa

Internet.org by Facebook
 
Hii system ya kuandika thread kama vile unaleta tips au Hints then ukifungua Heading iko differ na contents nini maana yake umeshindwa kuweka question mark at the end...dah kwa hio mistake napuuzia hii thread na kutotoa maelezo yoyote.

Jamaa yuko fiti,kwani katika uandishi unapaswa kuweka heading ambayo itamshitua kila mtu nakutaman kujua content yake,kwaiyo ucmulaumu
 
ingia playstore download app inayoitwa internet org den utapat baadh ya websit bur km jf n.k
 
ingia playstore download app inayoitwa internet org den utapat baadh ya websit bur km jf n.k

mkuu nimejaribu kuicheki hii app Play store sijafanikiwa kuipata.

Naomba msaada wako zaidi.
 
kama unatumia mtandao wa tigo, kwa kupitia Internet.org Unaweza kupata free access ya mtandao mbalimbali kama Jamii forum, gazeti la mwananchi, zoom tanzania, BBC swahili, na mengine mingi.

Kwa kupitia simu yako ya tigo ingia hapa

Internet.org by Facebook

Mkuu maelekezo yako nimeyaelewa ila namna ya kupata hiyo access nimeshindwa kabisa.

Msaada wako zaidi tafadhali.
 
Hii system ya kuandika thread kama vile unaleta tips au Hints then ukifungua Heading iko differ na contents nini maana yake umeshindwa kuweka question mark at the end...dah kwa hio mistake napuuzia hii thread na kutotoa maelezo yoyote.

Ametumia huandishi wa vichwa vya habari vya magazeti
 
mkuu nimejaribu kuicheki hii app Play store sijafanikiwa kuipata.

Naomba msaada wako zaidi.

mbn ipo bt wakat wa kuidownload mak sur unatmia line ya tgo....ingia playstore> search>INTERNET ORG
 
Heshima kwenu wakuu, kuna taarifa kwanza kampuni ya mawasiliano ya Tigo Tanzania imeingia mkataba na Jamii Forums ili kuwawezesha watumiaji kuingia Jf bila makato ya ada kwa mteja wa Tigo.Naomba kufahamishwa namna ya kuingia Jf bila data.Nashukuru.
No data no right to speak.
 
Inawezekana follow link hiyo ukiwa unatumia line ya tigo, http://0.internet.org/

Na utawezakutembelea tovuti kadhaa bure, ikiwemo jf web version.

Hiyo link http://0.internet.org/. siyo application ya kiInstall, hiyo kama proxy.

288b04ca8f2223cf8d8e3873f9751206.png

58071433f6dd4aefd5a1643f2403681f.png

658f126562cb33deb0f47e2a4cd39517.png
 
Back
Top Bottom