KatetiMQ
JF-Expert Member
- Sep 25, 2022
- 294
- 605
Nimekuja tena kwenu wahenga naombeni msaada wenu nipo katika wakati mgumu sana kuna jambo linanitatiza na kunifikirisha sana kipi niamue nipo kwenye wakati mgumu sana ipo hivi
Mimi ni kijana mdogo wa miaka 23 kwetu tumezaliwa wanne mimi nikiwa wa pili kuzaliwa wa kwanza kuzaliwa katika familia yetu ni wa kike mzee wetu yeye ni mfanya biashara na wakati nilipokuwa nasoma nilikuwa nakwenda kwenye biashara ya mzee japo mara moja moja weekend ( nilikuwa kijana nisiependa kazi ) usimamizi wa biashara ulikuwa kwa dada yetu mkubwa kwa sababu mzee hapendi kabisa wafanyakazi anahisi anaibiwa
Baada ya muda kupita nikahitimu sekondari wakati huo tangu nipo darasa la saba mpaka nafika kidato cha nne bado dada ndio alikuwa msimamizi wa ile biashara na mimi nilikuwa naendaga kama sehemu ya utalii japo walinilazimisha niwe naenda kumsaidia dada lakini nilisingizia masomo yananibana na nitafeli nikijihusisha na biashara kwa wakati huo
Kwa bahati mbaya dada akapata mchumba na akamwambia mzee anataka kuolewa kwangu lilikuwa pigo kidogo nikahisi hii bishara nakwenda kufanya na kuisimamia mimi kwa sababu mimi ndio mkubwa akitoka dada wengine ni wadogo kidogo basi bahna siku ikafika dada akaolewa wakati huo biashara ilisimama kidogo kwa sababu ya harakati hizi za ndoa
Baada ya dada kuolewa hakukuwa na mtu wakuendeleza ile bishara na waliniambia walipotaka niende sikutaka kwa sababu
1: mzee ni mtu mkali mkali alikuwa anatupiga sana kuhusu mambo ya kufaulu shule na mitihani kwaiyo tangu zamani nilikuwa sipendi kuwa nae karibu kabisa nilikuwa najiepusha nae kwa kumkwepa kwepa na hii imejijenga tu ndani yangu yani sina story nae kabisa kwaiyo kufanya biashara yake tungekuwa karibu kitu ambacho sikutaka
2: sikuona kama mtu mwenye hekima mara nyingi hachukui ushauri wa mtu atakalosema ndio hilo hilo muda mwingine unaweza ukamuelekeza lakini anaamini mawazo yake sana kwaiyo nilimchukulia mtu mbishi mbishi hata mama mara kadhaa niliwahi kumsikia akilalamika kwamba hashauriki
Kwa sababu hizo sikutaka kuwa karibu nae hasa kufanya biashara ile baada ya kuwaambia kuwa sitafanya basi mama akatafuta kijana ambae tunamfahamu alikuwa jirani yetu ila yeye alipata matatizo kwenye familia yake mama yake akafariki baada ya hapo akaenda zake mkoani ambako alifikia kwa bibi yake mzaa mama hakuwa na ndugu sana sasa hapa mama akamkumbuka akampigia ili aje kufanya hii biashara na wakati huo mimi nipo nimemaliza sina hata kazi nasikilizia matokeo tu basi kijana akafika jijini
Na siku chache za maelekezo kazi ikaaendelea tena huku nikiwa jobless nipo tu home matokeo yakatoka na kwa bahati nilifanikiwa kupata chuo kimoja mkoani arusha ila sikutaka kwenda kwa sababu tangu zamani sikuamini katika elimu nahisi ugomvi wangu na mzee hasa uko hapa kwa sababu katika story zake anadai zamani alikuwa mtu mwenye akili sana darasani lakini alikatisha masomo kwa sababu wazazi wake walishindwa ada kwaiyo alinitegemea sana mimi nisome yeye hakuwa na shida kwa dada kabisa kwa sababu dada hakufika elimu ya juu lakini sikuona hata siku moja wakiwa na mgogoro
Kwa hivyo baada ya matokeo yale sikutaka kujiunga na chuo walichonipeleka niliona kusoma ni kama kupoteza muda hasa kwa sisi watu wa hali ya chini ndoto yangu kujikita kwenye biashara maana wakati naendaga kule kwa mzee biashara ilikuwa inafanya vizuri sana hivyo nikahisi kwenda shule kwa miaka mingine mitano ni kujichelewesha ila sikutaka kufanya kazi kwa mzee nilitaka kufanya kitu changu peke yangu ila mtaji napata wapi nikawaza sana ikabidi nichukuwe maamuzi magumu
Nikamfuata mzee na kumwambia malengo yangu na kwamba sitaenda chuo nilichochaguliwa na natamani kuanza biashara zangu binafsi hivyo naomba msaada wake wa kifedha kwa sababu pesa za kunipeleka chuo alishaandaa tayari nilimuomba japo nusu ya pesa zile nianze kujitegemea kwa kufanya biashara mwenyewe lakini mzee akasema hana pesa biashara zake haziko sawa kwa sasa hapa nilihisi ananinyima nilikini nikaona baridi sio kesi mimi wa kiume acha nipambane na kwa wakati huo wote kijana anaendelea na kazi kama kawaida na mzee kawaida yake mtu anamuachia biashara mazima yani hana muda wa kufuatilia kabisa
Basi ikabidi nianze kujipambania japo mama alikuwa hataki nihangaike kwa sababu home kuna kila kitu ila nilimwambia acha tu nijipambanie yeye mzee wala hakujali aliendelea na mambo yake kama hanioni daah wazee wetu wana roho ngumu hasa ukiwa mtoto wa kuwapinga wanachotaka nikahangaika huku na kule nikapata kazi kiwanda kimoja kipo hapa hapa jijini nikafanya kazi pale daah sikutoboa hata wiki mbili kiwandani sio poa kazi ngumu balaa ujira mdogo elfu tano kwa siku kula juu yako nauli juu yako ila watu kibao wanafanya nikasema hapa nitakuja kufia humu ndani ikabidi niache
Nikarudi tena nyumbani maana kwa wakati huo bado sikuwahi kuhama basi nikahangaika hangaika nikaja kupata tena kazi ya kiwandani safari hii ilikuwa sio mbaya nzuri kiwanda kilikuwa cha peni chakula cha asubuhi na mchana juu yao alafu wanalipa kwa wiki ni kizuri sana ila napo nilikuja kuacha baada ya muda mchache kwa sababu ya dharau na kutuma tuma kwa wahindi kiwanda sio kikubwa na hakina kazi sana lakini wale watu hawataki kabisa upate muda wa kupumzika hili halikuwa tatizo sana lakini ile kufokewa kila wakati daah hapa ndio lilikuwa tatizo kwangu kwa sababu katika vitu siwezi kumudu kabisa ni dharau ikabidi niachane nao nirudi tu nyumbani
Muda ukaenda sana na mzee akaanza kulalamika kwamba yule kijana hamuelewi biashara mwenendo wake sio mzuri anaonekana anakula bata balaa anajipost FB yupo viwanja na picha za matamasha ya wasanii akawa na marafiki kama mchwa hapa mzee akapata mashaka kijana anamuibia n.k wakati wote baada ya kuachana na wahindi nilikuwa tu mtu wa nyumbani japo vikazi vidogo vidogo nilifanya lakini unapata pesa ya vocha tu sasa baada ya malalamiko ya mzee kuhusu biashara na yule kijana mzee akamwambia mama anishawishi nikafanye ile biashara kwa sababu pesa zinaenda siko mzee tangu mwanzo alikuwa hapendi hiki kitu yeye anasema bora aibiwe na watoto wake
Basi baada ya maongezi na mama sana ikabidi nikubali tu maana mkubwa niliyebaki ni mimi na hakuna mwingine wa kwenda kufanya biashara kwa sababu hata nikikataa watatafuta mtu mwingine na mambo yatajirudia vile vile tu nikaanza kazi rasmi nikiwa mfanya kazi wa baba yangu ambae hatuelewani japo sio kwa kiwango kikubwa na hapa ndio kiini cha tatizo langu linapoanza mpaka kuja kwenu
Kwa kuwa niliwahi kuja na kumsaidia dada wakati ule kwaiyo nilikuwa na ujuzi namna ya kufanya sasa siku zikaenda na biashara yetu ni mfano wa biashara za kama kupaka wanawake kucha yaani wateja wake wengi ni wanawake japo wanaume wapo pia na hapa wafanyabiashara wa aina hizi watanielewa biashara za kike zinamitihani sana usiombe kabisa kila kukicha mitego hukai kwa raha nahisi bora kule kwa wahindi na maneno yao ya shombo kuliko hili zahama la hapa mtu mpaka anakununia kabisa kisa hutaki mazoea nae na haachi kuja kuchukuwa bidhaa bora anune asije sasa hapa mtu anakununia wazi wazi alafu bado anakuja kununua yani unamuhudumia huku unakipata cha mtemakuni
Basi nikakwepa sana mishale japo niliwahi kupata kama vidada viwili hivi ila nilipiga na kusepa sikutaka mazoea ya ukaribu kabisa maana najua wasichana wa hapa jijini sio poa wao kukuachia mwili kisa pesa au tamaa ya maisha mazuri hawaoni tabu kwaiyo nikiona hapa siwezi kuvumilia napiga alafu nakata mawasiliano wengine wanakausha ila kwa huyu dada safari hii mmh kama nimeyakanyaga
Yeye ni mwalimu wa shule ya sekondari hapa jijini nimeanza kumuona miaka tu ya hivi karibuni kama kawaida alikuwa akija kwenye biashara yetu ni mtu wa tabasamu kali na full utani yeye kimuonekano tu ni mkubwa kuliko mimi na kweli alikuja kuniambia ana miaka 28 masihara ya hapa na pale na mazoea yakakolea lakini kama kawaida nilishajiwekea akilini kwamba wanawake wote wanaokuwa namna hii ni matapeli hasa tunaokutana hapa kwenye kazi basi siku moja akaomba namba yangu ya simu japo nilijua nini kingekwenda kutokea lakini nikaona sio kesi acha nimpe kwa sababu alikuwa mteja mzuri sana haingepita siku bila kuja hapa
Baada ya kupeana namba mwanzo tulikuwa na maongezi ya kawaida kama mtu na boss wake baadae akaanza zile za msalimie wifi nikaona kushakucha
Nikamwambia sina mtu ( hapa hakuna mwanaume anaekubali) kwamba nipo tu mwenyewe japo hakuniamini kwa sababu akija kwenye biashara anakuta wasichana wengi tu wengine nikiongea nao nikitaniana nao n.k kumbe alikuwaga anakasirika mimi sikuwahi kujua basi baada ya kumwambia nipo mwenyewe akasema sawa tukaendelea na maongezi tu kama kawaida kuchat kila siku masaa yote ikafika Krismasi ya mwaka fulani akaniuliza kama siku hiyo nitakuwa pale kazini nikamwambia hapana sitokwenda nahitaji kupumzika ili nifurahie sikukuu
Hapo sikuwa nimemtongoza kwa sababu yeye mkubwa kuliko mimi na pia niliona ni msomi hata tu anavyojiweka na hata ukimuona tu unajua huyu matawi kwaiyo namna ya kumuanza siwezi na sikutaka mahusiano kwa muda huo kwa kuwa nilitoka kwenye mahusiano muda mfupi kwaiyo nilitaka kupumzika na hekaheka za baby mbona umechelewa kujibu sms
Basi bhn akaniomba tutoke wote nikamwambia mimi natoka usiku akasema sawa hapa nilishtuka kidogo nilihisi usiku atakataa kwa sababu pia nilijua kaolewa yeye akakubali kwamba hata usiku hakuna tatizo mpaka hapo nikajiridhisha kwamba tayari mambo yashakuwa mambo siku ikawadia na kweli bila hiyana mtoto huyu hapa mashaallah anasura sio mzuri wa kutisha lakini mzuri pia mzigo kama wote shepu haswa (yani ukiniangalia mimi na huyo demu utaniuliza mara mbili mbili nimempata vipi lakini ndio maisha )
Basi tukaenda beach flani hivi tukaongea sana ndio aliponiambia kuwa hajaolewa amepanga sehemu moja hivi ambako anaishi na mdogo wake wa kike na pia yeye ni mwalimu wa shule moja ya sekondari hivi hapa jijini story zilikuwa nyingi tulitembea tukala tukafanya vitu vingi tu ulikuwa usiku mtamu sana sikuwa nimezoea kufanya hivyo hasa kutoka na mwanamke muda ukaisha na tukaondoka zetu
Hapa rasmi tukawa wapenzi bila ya hata kutongozana yani ikawa mwendo wa kuipiga kila weekend akawa anakuja magetoni tena bila kumtumia nauli wala nini ukimwambia tu njoo huyu hapa naipiga mpaka asubuhi anaoga chai nini alafu anasepa zake yani hakuna mtu mpaka sasa niliyeshiriki nae kama huyu dada na mzigo aliokuwa nao ndio kabisa nataka muda wote ila siku za kazi tu tulikuwa hatuonani mpaka weekend iwe jumamosi au jumapili kama kawaida nikasema huyu ni wale wale hapa ngoja nifanye yangu nitembee na kikubwa hapo nilikuwa siwezi kutenganisha nani ananipenda nani anataka pesa wote niliwaweka kwenye kundi moja japo huyu mwalimu ilikuwa tofauti kidogo hakuwahi kuniomba hata sent na kila siku alikuwa nakuja kwenye biashara kama mteja sometime sura imeumbwa na haya nampa tu kama shukrani na sio pesa ya maana ya kawaida sana ili kama amekuja kwa sababu ya pesa akate mawasiliano atembee lakini haikuwa hivyo
Aliniambia mpango wake kwamba amechoka kupanga anapesa ambayo anataka kununua kiwanja kwaiyo nimpeleke( alivyoniambia habari za viwanja nilijua nimpe hela ) laniki alitaka nimpeleke tu tuangalie n.k kisha nikiridhika anunue muda wote huo bado sina imani na kuipiga kama kawaida na hata yeye kwa namna fulani haniamini sana aliwahi kusema pale kazini kwako umezoeleka na wasichana wengi nikajua kwamba anahisi nina wanawake wengine baada ya hapo kimya kikatawala sikumcheki kama siku tatu hivi nikajua ndio tushaachana maana sasa hivi mtu akikaa kimya tu ujue tayari mimi nikaendelea na mishe zangu
Basi siku zikaenda huku maisha yanaenda kama kawaida na biashara zinaenda vizuri tu na mzee hana shida hana maneno wala usimamizi mkali nakumbuka siku moja nimekaa pale akanicheki kwenye sms ya whatsapp tumwite eliza sio jina lake lakini
AKaniuliza uko wapi nikamwambia niko kazini akalalamika mbona simtafuti nipo tu kimya nikamwambia hapana ni kazi tu zimenibana akanitumia picha fulani ya kipimo nikawa sijaelewa nikamwambia kunanini au amepata ugonjwa gani akasema hakwenda kazini alikuwa ajisikii vizuri katika siku hizo na alipokwenda kupima akakutwa na mimba mmh hapa moyo ulikimbia kama pikipiki ila sikupaniki kwa sababu muda mwingi nilikuwa nae kwaiyo hapa ni mia kwa mia hii mimba ni yangu kweli nikamwambia tuonane kweli akaja nikaongea nae nikamliwaza na utani wa hapa na pale japo alipooza sana ila nilijitahidi kumliwaza na kumfanya ajisikie vizuri kweli akawa kawaida nikapasha kidogo kumliwaza akaondoka
Baada ya hapo sasa nikawaza kuzaa sahivi mmh hapana sio kweli ndio kwanza naanza kujitafuta alafu nianze kulea tena nitabaki kwenye maisha ya kipato cha kawaida kama sio umasikini kabisa kwa sababu katika maisha yangu nime experience kwamba ni kweli wanawake wanamchango kumfanya mwanaume awe masikini au wa kipato cha kawaida kwa namna hufali hasa kwenye mambo kama haya ya mahusiano yapo na mimi nilikula bata na eliza lakini sio kwa matumizi makubwa ya fedha sikutaka kufanya yale ya yule kijana alafu nitajishushia heshima kubwa kwa mzee ambae sasa tunaelewana kidogo japo bado migogoro ya hapa na pale haikosi
Daah ikabidi nimcheki tu eliza nikamwambia kwa sasa kuzaa hapana hiyo mimba aitoe tu aligoma akisema hajawahi kufanya jambo kama hilo nikamwambia hakuna namna sasa bado nina malengo mengi sijayafanyia kazi nikamuomba sana akagoma daah ikabidi niende kwake kwa sababu sasa hivi aliacha kuja pale kazini nilimkuta mnyonge nikamuelewesha sana nikamsihi na kumuelekeza sana sijui taratibu za ualimu lakini niliogopa pia kama mimba italelewa atapoteza kazi alafu atakuwa wangu kabisa kabisa mke na mume na bado sikuwa nimejipanga kwa dhati kwenye jambo kama hili mwisho akakubali na akaitoa
Baada ya hapo akili sasa ikanikaa sawa nikaona hapa nisipokuwa muangalifu nitajikuta pabaya nikaanza kupunguza mazoea nae ili ni focus sasa kwenye mambo yangu na lisije likatokea jambo kama hili ndoto zangu zikafa ila mpaka nakuja hapa ni kwamba hataki tuachane kama sina kipato hata akipata tena mimba atailea mwenyewe kwa sababu ana kazi na anajimudu na hata tulipokuwa karibu kabisa sikuwa namhudumia sijui mambo ya chakula au kusuka hakuwahi kuniomba kabisa mimi ni kuipiga na mitoko tu na mimi namhurumia sana nahisi atakuwa single maza alafu pia sitaki kuwa baba kivuli nisie wajibika nataka niwe baba kikamilifu kulea na kuwa karibu na familia kwa na kwa tafsiri hiyo sitaki kuwa na familia kwa sasa mpaka nitakapokuwa kwenye stage fulani ya mafanikio lakini yeye kila nikimuelekeza haelewi na kibaya magetoni anapajua nimekata mawasiliano kwenye simu lakini kazini anakuja na haji kama mteja kama Mrs sasa tena mpaka kuuza biashara atanisaidia na magetoni anakuja japo sahivi siichapi kwa kuogopa mimba nyingine nawezaje kumuacha mtu wa hivi na hii kesi sitaki kwa mzee ifike nipo kwenye matatizo msaada wenu tafadhari