Hakuna short cut katika hili swalaSo mwenye uzoefu ushauri wenu
Mkuu kwa uzoefu wako wa miaka mingi katika haya mambo ya kununua bidhaa nje ni njia ipi rahisi ya kununua kitu nje kama vile laptop au simu ambayo inawezesha kukwepa haya magharama?Hakuna short cut katika hili swala
- Lipia Agent charges zao
- Lipia TAX/ VAT utakayoelezwa na TRA
- Lipia TBS
Ili kujifunza zaidi pitia hii link
Pia rejea hizi thread;
- Hili Halijapata Ufumbuzi kuhusu Ununuzi wa Vitu kwa Njia ya Mtandao (Online Purchase)
- Angalia post yangu namba #26, nilizamika kuitelekeza simu niliyokuwa nimenunua, maana tozo ilikuwa ni mara mbili ya ghalama ya mzigo.
Mpe mtu/ msafiri aje na bidhaa yako. Mfano kama una ndugu au jamaa yupo USA basi nunua hizo item na aje nazo kama sehemu ya mizigo yake.kukwepa haya magharama?
Alipaswa afanyeje mkuu?Uliagiza simu ngapi? Kama moja tu afu kwa FEDEX basi haya matatizo umejitafutia mwenyewe.
Unashangwazwa na Tozo kwenye simu Airport!Uliagiza simu ngapi? Kama moja tu afu kwa FEDEX basi haya matatizo umejitafutia mwenyewe.
Alipaswa afanyeje mkuu?
Unashangwazwa na Tozo kwenye simu Airport!
Sikia hili swala langu, Miwani ya macho ambayo kiuhalisia haitakiwi kulipiwa Tozo, sababu ni sehemu ya kifaa tiba, Ila nililazimika kulipia TZS 81,661.89 kama tozo
View attachment 1888422
Hahaha mkuu me so mfanya biasharaSasa kama hata tin namba huna unaishije mjini? Nyie ndio tunawatafuta unamiliki pesa halafu hamchangii maendeleo
Uliagiza simu ngapi? Kama moja tu afu kwa FEDEX basi haya matatizo umejitafutia mw
Ndio boss moja tuu na ndo maana nimewaletea labda tunaweza share mawazo/ushauriUliagiza simu ngapi? Kama moja tu afu kwa FEDEX basi haya matatizo umejitafutia mwenyewe.
Sio kweli kwamba TIN number ni kwa wafanya biashara tu.Hahaha mkuu me so mfanya biashara
Kabsa mkuu ushauri mzuri nimeuchukuaSio kweli kwamba TIN number ni kwa wafanya biashara tu.
Fanya kufika TRA upewe TIN yako, itakusaidia kwa siku zijazo.
Kabsa mkuuUlipaswa kuomba ushauri kabla, hapo hakuna jinsi lazima uingie hizo gharama