Tafuta ease us partition master, au software nyingine ya partition. Kama itashindikana Unaweza kutumia diskpart commands kwenye cmd lakini hii itafuta kila kitu kwenye hard disk
Natumia simu na sijahakikisha usahihi wa hizo commands kwahiyo kuwa makini
1. Fungua cmd kama administrator
2. Andika diskpart halafu bonyeza enter
3. Diskpart ikifunguka andika list disk
4. Zitatokea harddisk zilizopo kwenye pc yako zikiwa na namba kuanzia 0 na kuendelea
5. Angalia namba ya hard disk yako halafu mfano kama ni 1 andika select disk 1
6. Ikiwa selected andika clean halafu bonyeza enter na hdd yako itafutwa then unaweza kuiformat katika mbr