Nawezaje Kutengeneza Marafiki?

Nawezaje Kutengeneza Marafiki?

def_xcode

JF-Expert Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
2,552
Reaction score
6,816
Wakuu habari zenu na wale wakristo heri ya Pasaka.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni mtu ambaye kazi zangu nyingi nazifanyia ndani nikiwa peke yangu na ninaoshiriikiana nao wengi ni foreigners hivyo kazi tunazifanya na kuzifuatilia kupitia Slack, Hubstaff, Jira n.k. Huku tukishiriki sana Zoom na Google Meet video calls.
Hali hii imenifanya marafiki zangu wengi wawe ni watu walioko mbali lakini marafiki ambao ni rahisi kukutana na kujumuika nao moja kwa moja hasa weekends sina.
Pia mimi si mpenzi wa mpira kihivyo, japo ni shabiki wa yanga lakini ni shabiki wa kufuatilia matokeo tena kupitia kwenye threads humu jamiiforums. Zaidi napenda sana kutazama documentaries mfano True Crimes, Crime report za aljazeera na comedy kidogo hasa Dave Shappelle.
Iikitokea nimetoka sipendi kwenda sehemu zenye kelele, napenda kwenda sehemu zenye watu lakini kuwe kumetulia hakuna muziki mkubwa na makelele.
Pia si mlevi au niseme mnywaji, ikitokea nimekunywa pombe haiwezi kuzidi bia 3 tena lite. Spirits, gin siguzi kabisa.
Yani haya mambo yananifanya nikose marafiki na kuna muda nakuwa natamani kuwa na marafiki nijumuike nao. Siwezi kusema mimi ni introvert kwa sababu nazungumza sana na nina utani mwingi nikiwa na watu but cycle ya watu nilionao nje ya ndugu ni wachache sana hata 7 hawafiki.
Wakati nasoma nilikuwa na marafiki wengi ila sasa muda umepita hatukutani na kila mtu asha move on na maisha yake na hata tukikutana hatuna hata story za kuzungumza.
Marafiki nilionao ninaofanya nao kazi ni marafiki wa kweli hata nikiwa na shida kama kufiwa au tatizo lolote huniunga mkono lakini kuna wakati natamani kuwa na marafiki ambao ni rahisi kujumuika nao katika furaha na wakati wa matatizo.
Hivi wakuu ninaweza kuanzia wapi kutimiza hilo?
 
Anzia hapohapo kwenye pombe utapata wa kila aina mpaka wakukera na kufurahisha wenye vitimbwi na visa vyenye mikasa...🤣
 
Ni ngumu kuwa na marafiki walevi wakati wewe si mnywaji. Nimejaribu hiyo kitu mwaka jana nikawa naenda sehemu wanakutana watu wazito. Shida wanakunywa na kama hunywi wana mind. Yani ukifika wanakwambia wewe kunywa unachotaka bill si kazi yako.
Nilienda mara kadhaa nikaingia mitini maana
 
we umeandika unakunywa na mpaka ume mention gin hapo unajua mpaka gin...😂
wewe wacha mambo yako kunywa hizo bia zako tatu zinatosha Kutengeneza marafiki mkuu jimix kwenye mpira ambapo ndio hukohuko bar ila kua muangalifu marafiki wengine jau!.
 
Shida nikishapiga bia 2 hata ya tatu naanza kuhisi ina uchungu. Kitu naweza kunywa na sweet wine ambapo wale jamaa wananiamba hapa hatunywi wine bwana. By the way nilienda kwenye hicho kijiwe kutengeneza connection maana ni sehemu ya watu fulani hukutana hapo. Shida wote ni walevi wakianza kunywa ni mpaka usiku wa majogoo.
 
Kwa hili twafanana, ingawa wengi husema kadiri anavyomeza nyingi ndo huzidi kuongezeka utamu !!!
Mkuu acha kabisa. Mimi kwa kweli huo utamu siijawahi kuupata. Bia mimi nakunywa kwa hamu tena naweeza kununua nikakaa nazo kwenye friji ninywe moja ya baridi sana. Ile kukaa sehemu ninywe bia zaidi ya tatu, yani jinsi zinavyoongezeka ndivyo uchungu unazidi.
 
Shida nikishapiga bia 2 hata ya tatu naanza kuhisi ina uchungu. Kitu naweza kunywa na sweet wine ambapo wale jamaa wananiamba hapa hatunywi wine bwana. By the way nilienda kwenye hicho kijiwe kutengeneza connection maana ni sehemu ya watu fulani hukutana hapo. Shida wote ni walevi wakianza kunywa ni mpaka usiku wa majogoo.
we baki na hulka zako tu utahangaika mno kutafuta rafiki wakwendanae unavyotaka!.. kwanza upo wapi..?
 
Wakuu habari zenu na wale wakristo heri ya Pasaka.
Niende moja kwa moja kwenye mada.
Mimi ni mtu ambaye kazi zangu nyingi nazifanyia ndani nikiwa peke yangu na ninaoshiriikiana nao wengi ni foreigners hivyo kazi tunazifanya na kuzifuatilia kupitia Slack, Hubstaff, Jira n.k. Huku tukishiriki sana Zoom na Google Meet video calls.
Hali hii imenifanya marafiki zangu wengi wawe ni watu walioko mbali lakini marafiki ambao ni rahisi kukutana na kujumuika nao moja kwa moja hasa weekends sina.
Pia mimi si mpenzi wa mpira kihivyo, japo ni shabiki wa yanga lakini ni shabiki wa kufuatilia matokeo tena kupitia kwenye threads humu jamiiforums. Zaidi napenda sana kutazama documentaries mfano True Crimes, Crime report za aljazeera na comedy kidogo hasa Dave Shappelle.
Iikitokea nimetoka sipendi kwenda sehemu zenye kelele, napenda kwenda sehemu zenye watu lakini kuwe kumetulia hakuna muziki mkubwa na makelele.
Pia si mlevi au niseme mnywaji, ikitokea nimekunywa pombe haiwezi kuzidi bia 3 tena lite. Spirits, gin siguzi kabisa.
Yani haya mambo yananifanya nikose marafiki na kuna muda nakuwa natamani kuwa na marafiki nijumuike nao. Siwezi kusema mimi ni introvert kwa sababu nazungumza sana na nina utani mwingi nikiwa na watu but cycle ya watu nilionao nje ya ndugu ni wachache sana hata 7 hawafiki.
Wakati nasoma nilikuwa na marafiki wengi ila sasa muda umepita hatukutani na kila mtu asha move on na maisha yake na hata tukikutana hatuna hata story za kuzungumza.
Marafiki nilionao ninaofanya nao kazi ni marafiki wa kweli hata nikiwa na shida kama kufiwa au tatizo lolote huniunga mkono lakini kuna wakati natamani kuwa na marafiki ambao ni rahisi kujumuika nao katika furaha na wakati wa matatizo.
Hivi wakuu ninaweza kuanzia wapi kutimiza hilo?
Usiwazee, umeshanipata rafiki wa faida hapa..
 
Unaweza kuwa na nia njema kabisa ya kutafuta marafiki lakini ukajikuta unaishia kutengeneza kundi la maadui

Kuwa makini maadui wengi ni watu ambao waliwahi kuwa marafiki

Endelea kuchapa kazi na hao hao 7
 
Back
Top Bottom