Nawezaje kusambaza document online kwa kutumia link ?

jov

Senior Member
Joined
Aug 20, 2012
Posts
121
Reaction score
9
Jaman naombeni kuuliza unawezaje kutengeneza link ya document Kwa mfano kuna document ya Microsoft word nataka niweke mtandaoni ambapo naweza mwambia MTU aigoogle aisome.
 
unataka kuiweka kwenye mtandao gan

kwenye Google Kwa mfano nimwambie MTU " Google ' causes of political instability' akigoogle aipate document ambayo nimeiandika ...
 
duuh hyo kama ngumu hv maana unatakiwa uwe na website/blog ya kuweka hzo data au labda um2mie kwa email
 
kwa kutumia email kuituma nawez kikubwa ninacho manisha ni Ku publish kitu ambacho kitakaa siku zote ..
 
njia rahc uwe na blog. ni pm nikupe mawasiliano natengeneza blog bei poa
 
kwa kutumia email kuituma nawez kikubwa ninacho manisha ni Ku publish kitu ambacho kitakaa siku zote ..

Unatumia email ya mtandao gani?

Kama ni gmail, basi ni rahisi...

Unachotakiwa kufanya ni ku-upload hiyo document kwa Google Drive (hii ni cloud storage ambayo inakupa nafasi ya kuhifadhi makabrasha yako remotely)...

Ukishaupload, kila document inakuwa assigned na link yake pekee na link hiyo utaweza kushare kwa marafiki...

Otherwise jaribu kutumia cloud storage nyingine kama Dropbox, kuna nyingine ni ya hotmail nimesahau jina lake n.k
 
me natumia gmail ...
 
Mwenzako anataka kufanya a very simple contents sharing, wewe waleta mambo ya kutengenezeana blog tena kwa hela...

Hapo hujarahisisha maisha kwake bali umeyafanya kuwa magumu...
 
akiwa na blog itamrahisishia zaid
 
me natumia gmail ...

Unatumia simu au kompyuta?

Kama ni simu basi hakikisha una Google Drive application (huwa inaitwa pia Drive)...

Log in kama unavyofanya katika email yako kwa kutumia credentials zilezile za email na password...

From there utaweza ku-upload anything kuanzia documents hadi multimedia files kama video, pics...

Documents zako zikishakuwa uploaded unaweza kushare na marafiki zako na ni link sharing...
 
jaman naombeni kuuliza unawezaje kutengeneza link ya document Kwa mfano kuna document ya Microsoft word nataka niweke mtandaoni ambapo naweza mwambia MTU aigoogle aisome.

tumia scribd kama unataka kushare na ulimwengu kazi zako, kuanzia assignment, research, report na kazi mbalimbali zipo.

ingia hapa
https://www.scribd.com

kuhusu kuonekana google hakikisha unatumia jina unique la kazi yako hasa la kiswahili itakuwa vizuri zaidi.

website nyengine zinazoruhusu kushare documents ni

isuu
http://issuu.com

google doc
http://docs.google.com
 
akiwa na blog itamrahisishia zaid

Kwa nini utengeneze blog kwa kutaka kushare kafaili kamoja tu?

Ni sawa na kununua shamba kubwa halafu unapanda mche mmoja tu wa mhindi, mche ambao ungeweza upanda kwa backyard...
 
Shukrani mkuu kwa kumuelekeza njia nyingine pia...

Hivi scribd ni free of charge au inahitaji utoe shekeli kidogo ku-upload contents?

tumia scribd kama unataka kushare na ulimwengu kazi zako, kuanzia assignment, research, report na kazi mbalimbali zipo.

ingia hapa
https://www.scribd.com

kuhusu kuonekana google hakikisha unatumia jina unique la kazi yako hasa la kiswahili itakuwa vizuri zaidi.
 
Shukrani mkuu kwa kumuelekeza njia nyingine pia...

Hivi scribd ni free of charge au inahitaji utoe shekeli kidogo ku-upload contents?

nime edit thread hapo juu, zamani ilikuwa bure ila sijaitumia toka 2012, nashangaa nimeingia inaniambia start your free month naona kama sasa hivi wameanza mambo ya kulipia, ila nafkiri msomaji ndio anaelipa si mtengenezaji wa document
 
Unatumia simu au kompyuta?

Kama ni simu basi hakikisha una Google Drive application (huwa inaitwa pia Drive)...

Log in kama unavyofanya katika email yako kwa kutumia credentials zilezile za email na password...

From there utaweza ku-upload anything kuanzia documents hadi multimedia files kama video, pics...

Documents zako zikishakuwa uploaded unaweza kushare na marafiki zako na ni link sharing...

kwa sasa natumia simu na hiyo kitu ninayo najaribu hapa na nisha uproad..
 
Back
Top Bottom