Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 5,084
- 8,365
Una kipaji Cha kuwatia watu moyo, simama hapo hapo elezea kuhusu chanzo na sababisho la ugonjwa wa Cancer mwilini ni nini ?Nkutakie kazi njema.
Una kipaji Cha kuwatia watu moyo, simama hapo hapo elezea kuhusu chanzo na sababisho la ugonjwa wa Cancer mwilini ni nini ?Nkutakie kazi njema.
Kutokana na nature ya kazi yangu imenifanya kuwa kilasiku nakunywa sana energy drinks tofauti tofauti
Sio rahisi hivyo ni sawa umwambie mvuta Sigara km ulikua unavuta Sigara Nicotine zimeshaondolewa tayari, usichukulie simple n remember it's a process sio Mambo ya kukaririshwa darasani unaleta kwenye uhalisiia utafeli vibaya field ibaki kua field action speak louder in here no bla blaKama ulikua na tabia ya kunywa Energy drink jua zilishaondolewa kwenye mwili wako
Nimesema sumu ya Panya nikimaanisha inakutafuna km sumu ya RatOx inavyomtafuna Panya, umenimanyile ?Energy drinks kaundiwa panya??
Asante sana.Acha kudanganyika.
Mwili wa binadamu hauwezi kuishi na sumu mwili, kama ni elite rejea elimu yako ya Biolojia mada ya "Excretion".
Kazi ya Ini, Figo, Ngozi, Kinyeo, ni kutoa taka mwili zikiwemo kemikali na sumu mbali mbali kama Ammonia.
Kama ulikua na tabia ya kunywa Energy drink jua zilishaondolewa kwenye mwili wako na hazipo tena, na kama zimeacha damage basi itaji reverse sababu umeacha kutumia vinywaji hivo, pia usitishwe na chapisho la "Case Study" ya mgonjwa mmoja ambae alikua ana Abuse Energy drinks kwa kunya mpaka chupa tano kwa siku.
Fata recommendations siku zote zinazotolewa na bidhaa yoyote, kama ushaambiwa usizidishe Chupa Mbili kwa siku za azam energy, basi tii matakwa ya watengenezaji.
Na hii kanuni inaendelea kutumika kwa Sigara na Pombe vyote huwa vina Onyo na ni juu yako wewe kufata au kutofauta ila wao au bidhaa zao hazitokua za kulaumiwa.
Nkutakie kazi njema.