Nawezaje Kuprint TCU selection baada ya Ku-apply?

Nawezaje Kuprint TCU selection baada ya Ku-apply?

school boy

Member
Joined
Aug 19, 2014
Posts
42
Reaction score
10
Nimemaliza kujaza second round application lakini nikitaka niprint for reference inagoma au second round hakuna kuprint
 
nimemaliza kujaza second round application lakini nikitaka niprint for reference inagoma au second round hakuna kuprint
Duuuuuhhhhhhhhhh braza hakuna kuprint we tulia tu hapo tayar hahahahaha unataka kuprint tena
 
Jaman mi kwangu kila nikiclick make second selection kozi hazitokei inatokea page ambayo huja baada ya mtu ukiwa ushamaliza kujaza kozi zote wakati mimi sijachagua hata kozi moja. Msaada please
 
Jaman mi kwangu kila nikiclick make second selection kozi hazitokei inatokea page ambayo huja baada ya mtu ukiwa ushamaliza kujaza kozi zote wakati mimi sijachagua hata kozi moja. Msaada please
mi mwenyewe ilitokea jana wakati nimejaza nne lakini nimemalizia leo
 
Kwani lazima kujaza zote tano?
Sio lazima.

Unaruhusiwa kuomba vyuo visivyopungua vitatu na visivyovidi vitano.

Hivyo hata ukiomba vyuo vinne au vitatu na una vigezo na ufaulu mzuri unachaguliwa.
 
Back
Top Bottom