Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 33,680
- 97,466
Jibu ili hapa.Kama ulipigia ccm kura jua kabisa IQ yako ni ndogo. Hicho ndio kipimo cha haraka nnaweza kukupa.
Jibu ili hapa.Kama ulipigia ccm kura jua kabisa IQ yako ni ndogo. Hicho ndio kipimo cha haraka nnaweza kukupa.
Ya 4 [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1. Siku ukifumaniwa utajua tu IQ
2. Ukizaliwa mtoto wa nje kwenye ndoa
3. Mkeo akidai talaka.
4. Baba mwenye nyumba akutolee vyombo nje
Kupima IQ kazi ndogo tu mbona
Vipi anayepaswa akusaidie anakudai?1. Siku ukifumaniwa utajua tu IQ
2. Ukizaliwa mtoto wa nje kwenye ndoa
3. Mkeo akidai talaka.
4. Baba mwenye nyumba akutolee vyombo nje
Kupima IQ kazi ndogo tu mbona