Nawezaje kupima uwezo wa IQ yangu?

Nawezaje kupima uwezo wa IQ yangu?

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,180
Napenda sana mambo ya saikolojia nawaomba wajuzi nawezaje kupima uwezo wa akili yangu ili niweze kujua mipaka yangu ya uwezo wa kufikiri

Natanguliza shukrani zangu kwa wataonielekeza kwa usahihi naona itakua pia msaada kwa wengine wakereketwa kama mimi
 
Kama ulipigia ccm kura jua kabisa IQ yako ni ndogo. Hicho ndio kipimo cha haraka nnaweza kukupa.
 
Kama unaenda na demu best halafu hujui unakwenda kufanya nini basi wewe IQ yako ni karibu na 0(sema 0)
 
Nenda Google mkuu hafu andika IQ test watakuletea maswali ambayo ukiweza kuyajibu utajua uwezo wa IQ yako ni upi mzee.

Nikutakie kila la kheri huko maswali 45 ya naweza kupasua ubongo mkuu utulie ujibu kwa makini.
Test zao zina low validity
 
Napenda sana mambo ya saikolojia nawaomba wajuzi nawezaje kupima uwezo wa akili yangu ili niweze kujua mipaka yangu ya uwezo wa kufikiri

Natanguliza shukrani zangu kwa wataonielekeza kwa usahihi naona itakua pia msaada kwa wengine wakereketwa kama mimi
Nenda kwa psychologist akupe aptitude test
 
Sawa Lakin mbona kila ukipiga hupati unayemtaka
Sasa IQ yako ndiyo inatakiwa kufanya kazi ipasavyo ili iwe juu! Mfano kwa nini unawapigia watu kura, lakini hawashindi?

Yaani unampigia kura Mgombea makini kabisa wa Ubunge! Lakini mwisho wa siku mshindi anaye tangazwa na tume ya Taifa ya uchaguzi ni Babu Tale, Jah People, Msukuma, Kibajaji, nk!
 
Back
Top Bottom