Nchi Kavu
JF-Expert Member
- Sep 11, 2010
- 4,289
- 2,472
Nauliza hivi kwa kuwa kuna matukio mengi huwa nayakuta kwenye taarifa za habari, redio au magazeti ambapo ningetamani sana kuyajua kabla hayajatokea ili nami niweze kufanya mchakato wa namna moja au nyingine aidha kushiriki au kupata taarifa zikiwa bado za moto.
Kwa mfano unakuta kuna kongamano fulani hoteli fulani au pale mnazi mmoja. Unakuta ina wahudhuliaji. Najiuliza hizi taarifa huwa zinasambaa vipi? Kama kuna mfumo hata wa kulipia kwa njia ya simu japo kutumiwa sms ili kuweza kupata hizi taarifa tafadhali tufahamishane
NB: Hapa sizungumzii breaking news au news alert