mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,334
- 12,466
Habari zenu wadau
Hivi naweza kupata Storage yenye ukubwa wa 100Tb kwa shingapi?
Je itakuwa ni disk moja au mengi?
Je maximum hard disk ni kiasi gani?
Je kwa Bongo yanapatikana?
2TB ipo
Hata 15 TB bongo zipo. issue hajasema matumizi ni yapi ili tujue.
Hdd kubwa ni Around 20TB kutoka manufacture wanaoeleweka wa Consumer HDD, hivyo utahitaji kama HDD 5 kupata 100TB. Ila kama wadau huko juu walivyosema matumizi ni muhimu kila HDD ina kazi yake hazifanani.Habari zenu wadau
Hivi naweza kupata Storage yenye ukubwa wa 100Tb kwa shingapi?
Je itakuwa ni disk moja au mengi?
Je maximum hard disk ni kiasi gani?
Je kwa Bongo yanapatikana?
Hapo Kwenye milioni 100 tu sasa dahhHdd kubwa ni Around 20TB kutoka manufacture wanaoeleweka wa Consumer HDD, hivyo utahitaji kama HDD 5 kupata 100TB. Ila kama wadau huko juu walivyosema matumizi ni muhimu kila HDD ina kazi yake hazifanani.
Na ukitoa Hdd kuna ssd zenyewe ni ghali ila ni rahisi kupata size kubwa 100TB ssd ina cost kama milioni 100 tu.
Unaziweka kwenye nini ?Unaweza kuchukua za TB chache ukaziweka kama Disk Array kama sijakosea.
Storage ya vitu vyangu Kama videos na pichaHdd kubwa ni Around 20TB kutoka manufacture wanaoeleweka wa Consumer HDD, hivyo utahitaji kama HDD 5 kupata 100TB. Ila kama wadau huko juu walivyosema matumizi ni muhimu kila HDD ina kazi yake hazifanani.
Na ukitoa Hdd kuna ssd zenyewe ni ghali ila ni rahisi kupata size kubwa 100TB ssd ina cost kama milioni 100 tu.
Mkuu kama unaweka video na picha na hujali speed ya kuhamisha tafuta tu HDD za Nas hata zikiwa 5400rpm.Storage ya vitu vyangu Kama videos na picha
Na kama unataka kujilipua zipo Hitachi HDD (zinaongoza kwa ubora) sema zinakuwa refurbished hivyo huwezi jua zimetumikaje, kwa nafuu Terabyte kadhaa.Storage ya vitu vyangu Kama videos na picha
Disk yenye ukubwa huu wa 100TB hata ukifanikiwaa kuipata (kama single piece), bado itasumbua kwenye kusoma data. It's too big kwa machine zilizopo kwa sasa kuweza kui-accommodate ukubwa wake kuanzia kwenye RAM hadi kwenye machine processor speed. The chances ni kwamba machine yako itakuwa inakuwa very slow pindi utakapokuwa unai-connect kwa sababu ukubwa huu almost unaendana na type ya MINI-SUPER COMPUTER MACHINE. Nunua hizo za 20TB halafu uwe unaconnect one at a timeHabari zenu wadau
Hivi naweza kupata Storage yenye ukubwa wa 100Tb kwa shingapi?
Je itakuwa ni disk moja au mengi?
Je maximum hard disk ni kiasi gani?
Je kwa Bongo yanapatikana?
@moviestoreDisk yenye ukubwa huu wa 100TB hata ukifanikiwaa kuipata (kama single piece), bado itasumbua kwenye kusoma data. It's too big kwa machine zilizopo kwa sasa kuweza kui-accommodate ukubwa wake kuanzia kwenye RAM hadi kwenye machine processor speed. The chances ni kwamba machine yako itakuwa inakuwa very slow pindi utakapokuwa unai-connect kwa sababu ukubwa huu almost unaendana na type ya MINI-SUPER COMPUTER MACHINE. Nunua hizo za 20TB halafu uwe unaconnect one at a time
Laptop yenye RAM ya 4GB 10 au 11Gen unaweza kuongeza RAM hadi ukubwa gani bila kupoteza uwezo wake.Hdd kubwa ni Around 20TB kutoka manufacture wanaoeleweka wa Consumer HDD, hivyo utahitaji kama HDD 5 kupata 100TB. Ila kama wadau huko juu walivyosema matumizi ni muhimu kila HDD ina kazi yake hazifanani.
Na ukitoa Hdd kuna ssd zenyewe ni ghali ila ni rahisi kupata size kubwa 100TB ssd ina cost kama milioni 100 tu.
million 100 tu ππHdd kubwa ni Around 20TB kutoka manufacture wanaoeleweka wa Consumer HDD, hivyo utahitaji kama HDD 5 kupata 100TB. Ila kama wadau huko juu walivyosema matumizi ni muhimu kila HDD ina kazi yake hazifanani.
Na ukitoa Hdd kuna ssd zenyewe ni ghali ila ni rahisi kupata size kubwa 100TB ssd ina cost kama milioni 100 tu.
Unaangalia motherboard mkuu, ila most of time ni 16GB ama 32GB max ram kwenye laptop za kawaida.Laptop yenye RAM ya 4GB 10 au 11Gen unaweza kuongeza RAM hadi ukubwa gani bila kupoteza uwezo wake.
Je, kuongeza RAM kunaongeza speed ya computer?
Kuna wazee wa Chia siku hizi wananunua tu.million 100 tu ππ
Thank you.Unaangalia motherboard mkuu, ila most of time ni 16GB ama 32GB max ram kwenye laptop za kawaida.
Kama ram yako ni 4GB ukiongeza ikienda 8gb ndio itaongeza speed sana. Angalau 8gb ndio unafanya mambo yako kwa uhuru, na hii win 11 ukiwa na 16gb ram si mbaya, hasa kama unaweka app za android.
Kujua kiasi gani laptop yako inasupport google tu jina la laptop ingia website ya manufacture kisha angalia maximum ram