Nawezaje kupata Scholarship ya diploma ya Umeme

Rahimu kiwani

Member
Jun 14, 2022
58
47
Wakuu nimemaliza certificate two in level three ktk course ya electrical engineering naomba msaada wa kupata scholarship ya diploma ya umeme mwenye kufahamu jinsi ya kupata naomba tufahamishane ahsanteni .
 
Wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu vyuo/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?
 
Kwani hakuna uwezekano wa wewe kusoma online electrical engineering Vyuo vya nje?
Mbona ni kama watu wanasoma tena wakiwa apa apa na shuguli zao zinaendelea kama kawaida?
 
Wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu vyuo/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?
 
Wadau Hivi hakuna mtu anayefahamu vyuo/mahala wanapotoa scholarships za masters iwe ndani au nje ya nchi kwa upande wa accounting, economics or finance related degrees?

Mm mwenyewe natafuta, ukifanikiwa tujulishane
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom