medrickrobert Member Joined Apr 25, 2017 Posts 58 Reaction score 9 Oct 8, 2017 #1 mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2016 na nilichukua mchepuo wa sayansi na nilipata daraja la pili(division 2) nilichaguliwa kujiunga na sekondari lakin ckuweza kupata wa kuniendeleza kimasomo... in short ni yatima..
mimi ni muhitimu wa kidato cha nne mwaka 2016 na nilichukua mchepuo wa sayansi na nilipata daraja la pili(division 2) nilichaguliwa kujiunga na sekondari lakin ckuweza kupata wa kuniendeleza kimasomo... in short ni yatima..
Pain killer JF-Expert Member Joined Aug 15, 2017 Posts 14,365 Reaction score 21,747 Oct 8, 2017 #2 Polee sana mkuu jalibu kutembelea makanisa na miskit mbal mbali unaweza pata msaada...unaweza kutana na wasamalia wemaa
Polee sana mkuu jalibu kutembelea makanisa na miskit mbal mbali unaweza pata msaada...unaweza kutana na wasamalia wemaa
mkai msangi Member Joined Feb 6, 2017 Posts 49 Reaction score 17 Oct 8, 2017 #3 Ulipangiwa shule gani nenda kwa kiongozi wako hasa mbunge au Mkuu wa wilaya unaweza pata msaada usikate tamaa pole sana
Ulipangiwa shule gani nenda kwa kiongozi wako hasa mbunge au Mkuu wa wilaya unaweza pata msaada usikate tamaa pole sana