Nawezaje kupata line ya safarcom nikiwa Tanzania bila kwenda Kenya

thewajibu

JF-Expert Member
Jan 14, 2017
226
293
Habari wana Jf kama kichwa kinavyosema nina hitaji raini ya safarcom nikiwa Tanzania mkoani Mwanza. Tafadhari mwenye uelewa juu ya jambo hili
 
Kama uko mwanza mkuu si usafiri tu hadi hapo mpakani sirari kisha bila kuvuka border unaeza agiza chinga yeyote upande wa pili yaani migori akakununulia akakuletea ukaifanyia roaming then ukaanza kuitumia ukiwa mwanza huko, zile wanazotengeneza jamaa wa IT itakuonesha tu kuwa unatumia line ya nje kwenye WhatsApp lakini huwezi kuitumia nje ya WhatsApp kama kutuma text za kawaida au kupiga na kupigiwa pia
 
Nenda wilayani Namtumbo karibu na mpaka wa Lindi na Taiwan maeneo ya kona ya Bwiru karibu na kituo cha mafuta ya Nazi ulizia Prince Willium wa Cantebary Misungwi utaipata hapo mkuu Chiccago Matelephone
 
Nenda rombo tarakea zipo za kutosha...
Unaambiwa ukiwa pale kny ofisi za wilaya tu unashanga mtandao wa safaricom unakukaribisha.
 
We utakuawa mtu wa kigoma wewe
hapana huyu atakuwa ni msukuma wa mwanza, watu wa mwanza wana hiyo shida cha ajabu hata baadhi ya wasomi na walimu!
tatizo lao lingine ni kuchanganyanya z na nz = mfano: wazo = wanzo
y na ny
g na ng mf chaga = changa nk
 
Kama uko mwanza mkuu si usafiri tu hadi hapo mpakani sirari kisha bila kuvuka border unaeza agiza chinga yeyote upande wa pili yaani migori akakununulia akakuletea ukaifanyia roaming then ukaanza kuitumia ukiwa mwanza huko, zile wanazotengeneza jamaa wa IT itakuonesha tu kuwa unatumia line ya nje kwenye WhatsApp lakini huwezi kuitumia nje ya WhatsApp kama kutuma text za kawaida au kupiga na kupigiwa pia
Asante mkuu
 
Back
Top Bottom