4g kuipata inahitaji vitu viwili
1.hardware yenye uwezo wa 4g kwa case yako ni simu, inabidi simu yako iwe na band za lte
2.isp au kama tunavyoita mtandao wa simu inabidi nao wawe wanasuport hio lte(4g)
kujua kama simu yako ina lte angalia specs za simu hata gsmarena ukiona kwenye band pale wameandika band za lte ujue unayo.
kwa kuongezea hizi band zipo nyingi, simu yako inaweza kuwa na baadhi ya band za lte lakini mtandao wa simu ukawa unarusha 4g kwa band nyengine tofauti na simu yako ujue hapo hutapata kitu.
kwa tz smile wana 4g, pia niliskia mda kidogo voda wanafanya trial ya 4g baadhi ya maeneo dar

Mkuuu mimi nime angalia omekija nimeona kama ifuatavyo vipi kwa simu hii napata.
Yangu ni 19500 hii naona haina mkuu..kama ulivyoweka hapo
ila its possible kabisa 3g ya s4 kuipita speed 4g.
mfano airtel/tigo maeneo ambayo hakuna watu wengi simu yako inaweza kupeleka hadi 42mbps ambayo ni kama 5MB/ps speed hio ni kubwa kushinda 4g ya smile.
mimi simu yangu ni 21mbps na speed ninayopata inarange 1-2MB/ps
Ni kweli kabisa kuna wakati internet speed inakuwa kasi sana maeneo ya mwanza mjini lakoni baadhi ya sehemu speed inapungua kabisa
Mi hapa natumaini 4G, Dar inapatika airtel, Voda...
Inayoniandikia 4G natumia airtel ni 4G fake? Na upo fast kama ile ni
Mtandao wenye 4G real ni Smile pekee na hau support Voice ni Data pekee hivvo kuuweka kwenye simu ni misuse
Tigo nao maeneo ya Makumbusho,Masaki,UDSM na UDOM wana 4G speed up to 42Mbps lkn hii sio real 4G
Technicaly teknolojia 3G, 3.5G, 3.75G 4G ni kwa ajili ya data pure, na pekee inaweza tumika kwa ajili ya voice kama utaingiza ishu za VoIP (Voice over IP). kwa ufupi hii ni teknolojia ya kupitisha signal za sauti katika data.
Hiyo ya tigo katika maeneo hayo unayosema yanaweza kuwa nayo 4G. Ishu ya speed haireflect na band kama ni fake 4G ama laa. Kupata full speed ya 4G kunategemeana na factor nyingi, nazo ni
1. Signal strength ya mawimbi eneo ulipo
2. Number of users allocated per channels na activities zao in a unit time.
3. Terrain ya eneo ulilopo.
theoretically speaking speed za 4G ni 100Mbps na kupanda juu na wala sio 42Mbps
42Mbps ni 3G speed
Pia nasikia 4G zimegawanyika sijui makundi mawili na nafikiri Tigo hai fall kwenye hizo Categories
Wakati smile wanatumia LTE ambayo ni candidate moja wapo ya 4G sasa sijui hiyo ya Tigo ni Wimax au LTE?